Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

Wanabodi
Waswahili wana vijineno neno vyao, ukivisikia unaweza kuviona ni kama vineno vya Utani!.

Moja ya vineno hivyo ni "Penye Uzia Penyeza Rupia!" na "hakuna mkate mgumu mbele ya chai".

Siasa zetu ni siasa za kijungu jiko, yaani siasa za hand to mouth kwa kutegemea ruzuku!. Hizi ni siasa za kimasikini!.

Kwanza niliwahi kusema hivi kuhusu ruzuku kwa vyama vya siasa Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla !., kisha nikashauri hivi Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi

Chadema waliposusa kuwa hawautambui uchaguzi, hawayatambui matokeo, hawalitambui Bunge na hawamtambui mshindi halali, niliwashauri huko ni kushupaza tuu shingo CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Leo nimepokea taarifa, hii kutokea twitwani
Kisha nikasoma na bandiko hili humu JF Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

Chadema wameufuata ushauri wa bandiko hili, waneacha ujinga wa kujifanya hawayatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020!, sasa wameacha kushupaza shingo, wameyatambua matokeo kimya kimya!, wamewasamehe mashujaa hawa kimya kimya msamaha ambao utatangazwa rasmi siku ya Jumatano tarehe 8 Machi na Mwenyekiti wa Chadema, mbele ya Rais Samia!.

Iliwahi kusemwa kuwa hakuna mkate mgumu wowote mbele ya chai!, tayari Chadema imeisha anza kupokea ruzuku hivyo sasa ita survive!. Na ile kesi ya kina Halima Mdee na wale 19 iliyopo mahakamani itafutwa!.

Hongera sana Chadema, for doing the right thing!, mtabarikiwa, viongozi wenu watabarikiwa, chama chenu kitabarikiwa na Tanzania Itabarikiwa!.

Ila pia tukubali tukatae, hakuna mkate mgumu mbele na penye uzia, penyeza rupia!. Kwa umasikini huu na siasa hizi za utegemezi wa ruzuku, CCM itatawala milele!, unless otherwise!.

All the best, hili liishe maisha yaendelee

Mungu ibariki Chadema
Mungu ibariki CCM kwa kukubali reconciliation
Mungu ibariki Tanzania
Paskali
.... aisifiae mvua ujue imemnyea

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi mtoa mada unafikiri humu ndani hakuna wafanyakazi wa halmashauri ambao wengi walisimamia kazi za NEC?
Au unafikiri hatuna ndugu kwenye tume ya uchaguzi.. Na baada ya uchaguzi hatuongei yaliyotokea?

Sasa najua muda ni mchache wa Katiba mpya... Basi fanyeni mabadiliko kuwe na Tume huru uone in real life gap za kura katika maeneo uliyoyataja...

Kwa ufupi Spika Tulia anatafutiwa jimbo sehemu nyingine ya kugombea.. Huyo Gambo kwa sasa anatoka jasho... Anajua
Magu alifanya kwa hila,sio kupendwa na wapiga kura
 
The most evil chadema ni tundu lisu maadamu hawajalijua hilo wataendelea kuanza moja kila siku, tundu lisu ndiye aliyemleta Lowasa chadema wakati ambapo chadema tayari ilikiwa fired up and ready to go sababu ya corruption wakauza chance wakaanza moja sasa wamerudi kule kule.

Tundu Lisu is pure evil!
Aaaaah, hizi sasa nongwa! Mmeshaanza kutengeneza sinema za kumnasua suprimu lida eeh?
 
Kadri siku zinavyo kwenda uwezo wa kufikiri wa Pascal Mayalla hapa JF unazidi kupungua na kupotea kabisa. Mabandiko yake yamekosa weredi na mantiki. Na hapa nitamkosoa.

Kwanza ni kosa kubwa sana kujenga hoja kwa kutumia vitu vya kizushi, uongo na upuuzi. Source kuhusu Covid 19 kusamehewa na CHADEMA ni source ya uongo na propaganda.

Upande wa pili kuhusu Ruzuku ya Chadema. Sote tunajua ruzuku ni haki ya CHADEMA (sio fadhila), na CHADEMA hawakunyimwa bali walikataa kuipokea ili kuhalalisha harakati za kupinga na kushikinikiza kufutwa kwa uchaguzi wote wa 2020. Ukweli muda umepita, mazingira ya kisiasa yamebadilika na mardhiano yameshafanyika.
 
Wanabodi
Waswahili wana vijineno neno vyao, ukivisikia unaweza kuviona ni kama vineno vya Utani!.

Moja ya vineno hivyo ni "Penye Uzia Penyeza Rupia!" na "hakuna mkate mgumu mbele ya chai".

Siasa zetu ni siasa za kijungu jiko, yaani siasa za hand to mouth kwa kutegemea ruzuku!. Hizi ni siasa za kimasikini!.

Kwanza niliwahi kusema hivi kuhusu ruzuku kwa vyama vya siasa Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla !., kisha nikashauri hivi Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi

Chadema waliposusa kuwa hawautambui uchaguzi, hawayatambui matokeo, hawalitambui Bunge na hawamtambui mshindi halali, niliwashauri huko ni kushupaza tuu shingo CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Leo nimepokea taarifa, hii kutokea twitwani
Kisha nikasoma na bandiko hili humu JF Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

Chadema wameufuata ushauri wa bandiko hili, waneacha ujinga wa kujifanya hawayatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020!, sasa wameacha kushupaza shingo, wameyatambua matokeo kimya kimya!, wamewasamehe mashujaa hawa kimya kimya msamaha ambao utatangazwa rasmi siku ya Jumatano tarehe 8 Machi na Mwenyekiti wa Chadema, mbele ya Rais Samia!.

Iliwahi kusemwa kuwa hakuna mkate mgumu wowote mbele ya chai!, tayari Chadema imeisha anza kupokea ruzuku hivyo sasa ita survive!. Na ile kesi ya kina Halima Mdee na wale 19 iliyopo mahakamani itafutwa!.

Hongera sana Chadema, for doing the right thing!, mtabarikiwa, viongozi wenu watabarikiwa, chama chenu kitabarikiwa na Tanzania Itabarikiwa!.

Ila pia tukubali tukatae, hakuna mkate mgumu mbele na penye uzia, penyeza rupia!. Kwa umasikini huu na siasa hizi za utegemezi wa ruzuku, CCM itatawala milele!, unless otherwise!.

All the best, hili liishe maisha yaendelee

Mungu ibariki Chadema
Mungu ibariki CCM kwa kukubali reconciliation
Mungu ibariki Tanzania
Paskali

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ☕️ lakini kila lenye mwanzo na mwisho wake upo
 
Paskali hapa hapa, hawa sio mashujaa ni wasaliti na msamaha huu ni jambo la kushangaza la kibaguzi sababu hata Zitto enzi zake walimtosa mazima. Hawa wanawake wametumia jinsia yao vibaya wenza wao ambao ndio viongozi waandamizi wameshindwa kusimamia wanayoyaamini na mahaba yamedondosha uthabiti wa chama.
Jemedari kama Kigaiya mkewe ni mbunge viti maalum hapa mwamba anapoteza ile legitimacy ya kukazia sauti tena.
Hapa CCM na inteligensia imetumika kuua upinzani.
 
Legitimacy ??!! Tanzania 🇹🇿 Mmh !!! Wenye vyama wakishakubaliana ndio Legitimacy yenyewe ! Kikwete alipata kusema hakuna haja ya kugombea fito ilhali wanajenga Nyumba moja !! Misemo ya Waswahili huwa ina maana pana kuliko kunavyodhania !!
 
Shida yetu ni aina ya makubaliano yaani wamekuumiza na wanakwambia kama unataka kuishi ungana na sisi, manake huna option nyingine yeyote ni kukubaliana na watesi. Haya huwezi kuita makubaliano, kwa Chadema ilipofikia na mateso waliyopata busara ilikuwa kuuungana na mwenye nguvu. Walikuwa wamevunjwa vya kutosha na sasa kufata wenye band wanatakaje.
 
Na huo ndio ukweli wenyewe !! Mama anaupiga mwingi !! If you can’t beat them join them !! 🙏🙏😍
 
Wanabodi
Waswahili wana vijineno neno vyao, ukivisikia unaweza kuviona ni kama vineno vya Utani!.

Moja ya vineno hivyo ni "Penye Uzia Penyeza Rupia!" na "hakuna mkate mgumu mbele ya chai".

Siasa zetu ni siasa za kijungu jiko, yaani siasa za hand to mouth kwa kutegemea ruzuku!. Hizi ni siasa za kimasikini!.
Paskali
Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Ni kweli, and take it from me, kama Chadema bado wamedhamiria kuandamana, na maandamano hayo yakaonekana ni penye uzia, then ndani ya siku mbili hizi, zitapenyezwa rupia za kutosha, Jumapili FM ataitisha press conference kutangaza kusitisha maandamano kwa kuufuata ushauri wangu huu na kuuzingatia. Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

P
 
Back
Top Bottom