Siasa za kilaghai za Polepole: Awamu ya Nne aliunga mkono Katiba Mpya; Awamu ya Tano alikataa, Awamu ya Sita anaitaka kwa gia ya Shule ya Uongozi

Akiwa kwenye tume ya Warioba aliwahi kusikika akisema kuna chama bila msaada wa polisi hakiwezi kushinda uchaguzi. Je ameshafikia hiyo topic kwenye shule yake?
Awamu ya tano alisimamia na kuongoza ujambazi wa kisiasa ambao haijawahi kutokea afrika mashariki na kati
 
Hata km mnamchukia sikilizeni mawazo yake
Huyo mtu ni mnafiki tu hana mawazo ya maana zaidi ya kupigania maslahi yake,wakati wa Kikwete alipoteuliwa kwenye tume ya katiba alikuwa akiongea tofauti hadi akazawadiwa u DC ,alivyoingia Magufuli alipewa uenezi CCM alianza kuongea tofauti na sasa kapigwa chini anaongea tofauti inawezekana kabisa kama angebaki madarakani hata kipindi hiki angeongea tofauti kwahiyo yupo kimaslahi zaidi.
 
Anayumbishwa na njaa yake. Hana njia nyingine ya kuganga njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…