Bookman Oldstyle
Senior Member
- Nov 3, 2019
- 147
- 47
Moja ya miradi mikubwa ambayo serikali ya awamu ya TANO unatakiwa kupongezwa ni connection ya mradi wa Reli ya mwendokasi na mradi wa kufua umeme wa Nyerere hakika ni perfect kwa sababu ya value for money ya miradi yote miwili!
1. Umeme itumike wapi!?
2. Kutumia nguzo gani ili kupunguza fidia!?
Lakini tulisahau kuingia kwenye dili la kuhakikisha nguvu za Marekani, Uturuki au China za kutengeneza mabehewa tunazitumia kwani kipaumbele kikubwa kilikuwa ni Steal na Job Creation. Tunashuhudia lifespan ya mabehewa ikiwa imekwisha kabisa, mengi ilibidi kuwa mgodi wa vyuma ili kutengeneza mabehewa mazuri ya reli ya kisasa kabisa.
#tag Important deal must be signed between less developed and developed. Ni utani tu, sifa zilimuuwa Sungura na Fisi. Tutengeneze story za kusimulia wajukuu, mradi wowote ni malighafi na benefits.
Cheers