Siasa za kimataifa: Vipaumbele vya kujenga reli na fursa za kibiashara

Siasa za kimataifa: Vipaumbele vya kujenga reli na fursa za kibiashara

Bookman Oldstyle

Senior Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
147
Reaction score
47
Moja ya miradi mikubwa ambayo serikali ya awamu ya TANO unatakiwa kupongezwa ni connection ya mradi wa Reli ya mwendokasi na mradi wa kufua umeme wa Nyerere hakika ni perfect kwa sababu ya value for money ya miradi yote miwili!

1. Umeme itumike wapi!?
2. Kutumia nguzo gani ili kupunguza fidia!?

Lakini tulisahau kuingia kwenye dili la kuhakikisha nguvu za Marekani, Uturuki au China za kutengeneza mabehewa tunazitumia kwani kipaumbele kikubwa kilikuwa ni Steal na Job Creation. Tunashuhudia lifespan ya mabehewa ikiwa imekwisha kabisa, mengi ilibidi kuwa mgodi wa vyuma ili kutengeneza mabehewa mazuri ya reli ya kisasa kabisa.

#tag Important deal must be signed between less developed and developed. Ni utani tu, sifa zilimuuwa Sungura na Fisi. Tutengeneze story za kusimulia wajukuu, mradi wowote ni malighafi na benefits.

Cheers
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania

Endelea kuchapa kazi Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania

Endelea kuchapa kazi Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
Ndiyo Radha ya uongozi kila MTU alikuwa na umuhimu sijue eti Ndiyo maana kila MTU anatakiwa kujipima na kujiongeza
 
Haya mambo IPO siku yatajirudia Kwa sababu ya Hotuba ni Bora kuna taasisi ya UBA
 
Back
Top Bottom