Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Salam wakuu,
Bila kupoteza muda huu ndiyo uhalisia wa hali ya siasa nchini kwa sasa.Wanasiasa wako busy kufurahishana na kulambishana asali huku wakipongezana kwa kauli ya "MARIDHIANO" huku wakisahau wananchi wanagongwa 800k wanapounganisha umeme, wanasahau wananchi wengi wanataabika kwa huduma za maji, umeme,afya ma miundombinu mibovu.
Lakini ukitazama wanasiasa wakiongozwa na mlamba asali mkuu utadhani Tanzania sasa ni nchi iliyoendelea 😀 Kumbe tuna miaka 60 ya uhuru na bado kuna watoto wanaketi chini kumsikiliza mwalimu!
Na wala hakuna anayelozungumzia swala hilo, Wote wapo busy na asali asali asali maridhiano maridhiano, pongezi, pongezi, semina, mialiko 😀 Inshort kufurahishana wao kwa wao wasaka madaraka kuangalia nafasi za ulaji huku wananchi hususan wa chini wakikosa msemaji! sasa sijui wanadhani watanzania wote ni wasakateuzi!?