Siasa za kujaza matumbo zinawasumbua CHADEMA mnawaza kurudi Bungeni maana mlishageuza ajira

Wewe hata ukichekwa haisaidii. Maana akili yako ni matope kabisa. Hivi zile halmashauri zilizo kuwa chini ya Chadema kabla ya ujambazi wenu wa kuiba kura, ni ipi ilikuwa na hati chafu?
Leo kila halmashauri wizi imeshamiri. Ccm ni wezi. Mpo kwa ajili ya matumbo yenu tuu.
 
Na ndio sababu ya wao kuunda kundi la kumkomoa Sabaya!

Maana Sabaya aliwatoa kwenye Reli kuanzia na mwenyekiti Mbowe!
 
Ngoja afike Erythrocyte hapa.
Acha porojo jamvin wewee. Rudisha avatar picha yako ya yule nyani anatembea kwa madaha ama shamba la mahindi ama picha ya mguu umevaa ndala.

Sauh'waaah?
 
Sijawahi hata kutamani uongozi ndani ya hii shithole country. Wananchi waliamua, au ni yule dhalimu aliyeko motoni ndio aliagiza uhayawani ule?
Live kupitia channel ipi iliyoonyesha kuwa yuko motoni
 
Kheri anayewaza kuingia bungeni kwa kura kuliko haramia anayewaza kutoachia dola kwa kutumia dola.
 
Sijawahi hata kutamani uongozi ndani ya hii shithole country. Wananchi waliamua, au ni yule dhalimu aliyeko motoni ndio aliagiza uhayawani ule?
KIpindi kile unajenga madarasa?
 
Unauliza au unapigia jibu mstari?
Hii siri haijawahi kuvuja mkuu! Mungu ameyajua maisha yetu kuliko hisia zetu!

Na kuhukumu mwingine wakati wewe mwenyewe uko na dhambi kedekede huwa mnatoaga wapi huo ujasiri mkuu
 
Hii siri haijawahi kuvuja mkuu! Mungu ameyajua maisha yetu kuliko hisia zetu!

Na kuhukumu mwingine wakati wewe mwenyewe uko na dhambi kedekede huwa mnatoaga wapi huo ujasiri mkuu

Sio za mauaji.
 
Wivu wa nini Sasa?! Bunge siyo mali ya Chato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…