LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Wewe hata ukichekwa haisaidii. Maana akili yako ni matope kabisa. Hivi zile halmashauri zilizo kuwa chini ya Chadema kabla ya ujambazi wenu wa kuiba kura, ni ipi ilikuwa na hati chafu?Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi.
Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Leo kila halmashauri wizi imeshamiri. Ccm ni wezi. Mpo kwa ajili ya matumbo yenu tuu.