Siasa za kujaza matumbo zinawasumbua CHADEMA mnawaza kurudi Bungeni maana mlishageuza ajira

Haya ngoja waamke kisha wawashe data waanze kukutolea povu
 
Mpumbavu anapoonesha ubora wa upumbavu wake ni hatari kwa hivi inaishia nchi gani he 2022 kulikuwepo na uchaguzi au uchaguzi?
 
Magufuli alitumia mtutu kutaka kuua upinzani alishindwa lakini mama Samia anatumia asali na atafanikiwa kuua upinzani kufikia 2025 wananchi hawatowaamini upinzani kwa sababu njaa na matumbo yao ndio lengo lao. Mama ongeza asali tafadhali🤣🤣🤣🤣
 
Kaka una uhakika na unayo yaongea?wamaanisha waziri Mkuu kuwa bungeni ni kujaza tumbo? Hebu chakatua unayo jiri kuyasema kabla hujasema.Maana tuna wabunge mmle.Kwahiyo nao wamefanya ni ajira kwa sababu ya kujaza matumbo Yao??
 
WAJINGA MNAONGEZEKA KWA KASI Inaonyesha ni AKILI NDOGO uliyonayo unashindwa kuelewa Chama cha Siasa lazima kiwe na WABUNGE
 

Nchi imejaa wajinga sana na wewe ukiwamo.
 
Mbona nyie hamtoki? Umesahau yule mbunge wenu aliyesema kuwa Yuko tayari hata kumwaga damu ila sio kupoteza Ubunge? Usiwe mwepesi kusahau
 
ccm wao hawataki posho na mishahara???
 
Nichama kipi kisichotaka wabunge?
Niwabunge wapi wasiopenda posho?
Hebu wajitokeze hao wa naokataa posho tuwaone

Naiona chuki ya dhahiri ndani ya andiko lako
 
Naona mmeshaanza kuogopa 2025.
 
Utawala wa JF pengine wafikirie kuanzisha jukwaa lingine jipya lililo mahususi kwa hoja ya kijinga na kipuuzi kama hii.

Pengine jina pendekezwa liwe "Jukwaa la Utumbo"
 
Nyie mataahira wa Sukuma Gang siasa za majitaka zimeshapitwa na wakati zimezikwa kule Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…