Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe

Anayelipa fidia ni mkurupukaji na mwoga.ardhi walinyang'anywa waafrika na kijimilikisha wazungu pasipo kihalali.Mugabe alichokifanya ni kuirudisha Kwa wenyewe waafrika.
Baada ya kuirudisha kwa Waafrika tija iko wapi? Au waliitumia kuhifadhia waganga wa kienyeji.

Kiongozi unatakiwa ufanye maamuzi yenye tija kwa nchi na sio maamuzi popular ya maskini. Maskini wa Tanzania ukiwaambia matajiri wote wezi na ndio wanafanya msiwe na hela watafurahia, wataomba kiongozi uwakamate kina Mo Dewji, Bakhresa na wenzao uwapokonye mali. Mwishowe unabaki na uchumi failed.

Iddi Amin alifanya hivyohivyo akafukuza Wahindi na kuwapora mali huku Waganda maskini wakishangilia, wakaenda UK mikono mitupu. Wakaanza uiya kule wakapata hela, wakarudi miaka baadae wakakuta viwanda walivyoporwa na Amin akawagawia maofisa wake vilaza vimekufa. Wakaviendeleza huku Waganda wakicheza kachabari.
 
Siasa za Kimagufuri hizi.Pia ni kama za Samiah kufurumusha Wamasai eneo lao la asili na kuwakabidhi Waarabu.Vilevile kitendo cha kuibinafsisha Bandari kwa Waarabu ni matokeo ya siasa za kukurupuka.
 
Uzalendo ndiyo nini? Ule wa Magu siyo uzalendo bali hakutaka Mtanzania mwingine awe na fedha kumzidi.

Alichgua kakikundi ka ndugu na marafiki zake ndiyo walikuwa wanapora fedha za matajiri wa Tanzania.
 
Viongozi wabovu lazima wapondwe hata kama ni ndugu zetu.
 
Na faida ya kuwarudishia Bureau De change zao ni Dollar kupanda hadi 3,000
 
Say no to jpm the dictator
 
Na faida ya kuwarudishia Bureau De change zao ni Dollar kupanda hadi 3,000
Dola inapanda sababu ya high import bill,look here πŸ‘‡πŸ‘‡

Pia sababu za kupanda Kwa Dola ziko world wide na Africa imekumbwa na Changamoto hizo ambazo hazikuwepo awamu ya Magufuli na Wala sio kwamba eti yeye ndio alidhibiti.
 
Wakati wqnaoorwa huyu MNANGWAGWA Alikuwa nani vile? Alichukua hatua gani?
 
Wakati wqnaoorwa huyu MNANGWAGWA Alikuwa nani vile? Alichukua hatua gani?
Waziri au Mwanajeshi unaweza chukua hatua ipi kinyume na Rais?

Hii Haina tofauti na wale wapumbavu wanaosemaga ooh wakati akiwa hai hawakuseka Kwa nini? Kwa hiyo waseme Ili wauwawe au?
 
Anayelipa fidia ni mkurupukaji na mwoga.ardhi walinyang'anywa waafrika na kijimilikisha wazungu pasipo kihalali.Mugabe alichokifanya ni kuirudisha Kwa wenyewe waafrika.
Waafrika walifanya nini kwenye hiyo ardhi zaidi ya kufilisika.
 
Jinga kabisa wewe. Zee Zima jinga.
 
Mmechukua mashamba na tangu mmchukue mmeshindwa kufanya lolote ,mwafrika bwana

Ova

Kazi ya muafrika ni kama kazi ya yule sijui Dr au mchawi. Anajiita Sule. Anadanganya wajinga wenzake anatuma majini Ulaya na Marekani. Unashangaa akishayatuma yeye anafaidika na nini, maana kila siku inayokwenda, hali yake inachechemea, afadhali ya jana.
Hatuko serious na mambo ya ulimwengu huu. Bora nirudi zangu Kisaki na Dutumi, nikashiriki kwenye zile mila zetu na desturi
 
Waziri au Mwanajeshi unaweza chukua hatua ipi kinyume na Rais?

Hii Haina tofauti na wale wapumbavu wanaosemaga ooh wakati akiwa hai hawakuseka Kwa nini? Kwa hiyo waseme Ili wauwawe au?
Kumbe adhabu ya kusema ukweli ni kuuwawa? Ah basi basi.
Je siyo kweli kwamba imeandikwa ... nitasema ukweli daima fitna kwangu mwiko?
 
Kumbe adhabu ya kusema ukweli ni kuuwawa? Ah basi basi.
Je siyo kweli kwamba imeandikwa ... nitasema ukweli daima fitna kwangu mwiko?
Inategemea aina ya ukweli,maslahi Yako na ya familia Huwa ni muhimu zaidi maana sio Kila mtu ni binadamu
 
ZANU PF ni kama CCM tu Wakomunisti Uchwara.

Mkusanyiko wa wapigaji...na wanadhani mambo yatakaa hivyo milele. Kumbe kumeanza tena kukucha. Zimbabwe lazima wajitafakari.
Wachache kula mali za wengi kwa giliba ni laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…