Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe

Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe

Baada ya kuirudisha kwa Waafrika tija iko wapi? Au waliitumia kuhifadhia waganga wa kienyeji.

Kiongozi unatakiwa ufanye maamuzi yenye tija kwa nchi na sio maamuzi popular ya maskini. Maskini wa Tanzania ukiwaambia matajiri wote wezi na ndio wanafanya msiwe na hela watafurahia, wataomba kiongozi uwakamate kina Mo Dewji, Bakhresa na wenzao uwapokonye mali. Mwishowe unabaki na uchumi failed.

Iddi Amin alifanya hivyohivyo akafukuza Wahindi na kuwapora mali huku Waganda maskini wakishangilia, wakaenda UK mikono mitupu. Wakaanza uiya kule wakapata hela, wakarudi miaka baadae wakakuta viwanda walivyoporwa na Amin akawagawia maofisa wake vilaza vimekufa. Wakaviendeleza huku Waganda wakicheza kachabari.
Umaskini wetu ni fikra
 
Mnangagwa nae ameogopa kutunguliwa kama Mzee Ayatula
 
Hao Wazungu hayo mashamba waliyanunua kwa nani na kwa gharama kiasi gani?.

Wao gharama za kuua, kuumiza watu wetu na kukoloni ardhi yetu huku wakichukua raw materials bure wamemlipa Nani?.
 
Haki ya wazibabwe ni pamoja na ardhi yako imelikiwe na wao na sio wavamizi ndo maana wazibabwe walimwaga damu kuipambania
Walipomiliki hiyo ardhi waliifanyia nini zaidi ya kufilisika.Hapo zamani Zimbabwe alikuwa mzalishaji namba moja wa mahindi Afrika lakini baada ya nchi kuvamiwa na Mvamizi MUGABE nchi hiyo iliyumba kila kona kuanzia maisha ya familia moja moja hadi uchumi wa Zimbamwe.
 
Hao Wazungu hayo mashamba waliyanunua kwa nani na kwa gharama kiasi gani?.

Wao gharama za kuua, kuumiza watu wetu na kukoloni ardhi yetu huku wakichukua raw materials bure wamemlipa Nani?.
Maisha bila mzungu hayaendi,kama hutaki ushirikiano na wazungu jinyonge.
 
Walipomiliki hiyo ardhi waliifanyia nini zaidi ya kufilisika.Hapo zamani Zimbabwe alikuwa mzalishaji namba moja wa mahindi Afrika lakini baada ya nchi kuvamiwa na Mvamizi MUGABE nchi hiyo iliyumba kila kona kuanzia maisha ya familia moja moja hadi uchumi wa Zimbamwe.
Walifirisika lakini ardhi ikabaki chini yao
 
Tangu Balozi wa Marekani ate mbelen ofisi za makao makuu ya JF siku chache zilizopita, nahisi kabisa moderators na wamiliki mnashikiwa akili na Mabeberu, na hili jukwaa ni mradi tukufu wa mabeberu against Africanism.

Maana kazi yenu ni kuwaponda viongozi wa kiafrika hasa waliodiriki kuonesha uzalendo wao kwa kutanguliza maslahi ya waafrika kwanza.
Kwangu mimi hii ni aibu hasa kwa mleta maada maana ni wazi uko upande wa hao mabwana zenu.
Mungu wabariki Wazungu
 
Back
Top Bottom