kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Ok sema waliobaki hasira hazijaisha mpaka sasa hivi tunavyoandika au pesa zimewaishia!Warudishwaje wakati walilipwa Chao? Standard 7 walirudishwa wakajiendeoeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok sema waliobaki hasira hazijaisha mpaka sasa hivi tunavyoandika au pesa zimewaishia!Warudishwaje wakati walilipwa Chao? Standard 7 walirudishwa wakajiendeoeze
Hasira zinaelekezwa kwani nani saizi?Ok sema waliobaki hasira hazijaisha mpaka sasa hivi tunavyoandika au pesa zimewaishia!
Kaburini!Hasira zinaelekezwa kwani nani saizi?
Jiwe alikuwa mpumbavu sanaKunae yule wa makinikia nae alitaka afanye hayo hayo kabla ya kurudi nyuma japo aliwafanyia wafanyabiashara wa Beureu De Change ambao Samia kawarudishia pesa zao.
Kudai uhuru kwa haki ndo kupoje?Wangedai uhuru kwa Haki Mugabe asingetawala miaka yote ile kwa sababu wangemtoa na kumweka mwingine wa kuwavusha kwenye dimbwi la umaskini.
Mvamizi alikuwa Mugabe ambaye alivamia na kupora haki za Wazimbabwe.
Nyie mashamba tangu myachukie mmefanya nini
Zaidi ya kukatika mauno tu
Iva
Hao Wazungu hayo mashamba waliyanunua kwa nani na kwa gharama kiasi gani?.
Wao gharama za kuua, kuumiza watu wetu na kukoloni ardhi yetu huku wakichukua raw materials bure wamemlipa Nani?.
Ardhi unairudisha kwa watu maskini na wala hawana mpango wa kuitumia hiyo ardhiAnayelipa fidia ni mkurupukaji na mwoga.ardhi walinyang'anywa waafrika na kijimilikisha wazungu pasipo kihalali.Mugabe alichokifanya ni kuirudisha Kwa wenyewe waafrika.
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni ya fidia kutokana na kuporwa Mali Yao.
Uporaji wa mashamba ya Walowezi wa Kizungu ulifanyika kama kete ya Kisiasa ya Mugabe kushinda uchaguzi na ilipelekea Nchi hiyo kuwekewa vikwazo Vikali na kuporomoka Kwa Uchumi na kuigeuza Zimbabwe ambayo ilikuwa na usatwi kuwa Moja ya Mataifa ya kishenzi yaani failed state.
View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1791501940385317125?t=O5kGCm3t2SSf7HdDHvEqKw&s=19
My Take
Hizo ndio hasara za siasa za Kukurupuka na mihemko.Kiko wapi Sasa? Unalipa na fidia Juu.
Kunae yule wa makinikia nae alitaka afanye hayo hayo kabla ya kurudi nyuma japo aliwafanyia wafanyabiashara wa Beureu De Change ambao Samia kawarudishia pesa zao.
Pia soma Zimbabwe: Mamia ya Wakulima wa Kizungu Waliotimuliwa na Hayati Mugabe Warejea kwa wingi kuendeleza kilimo chao
Enzo zile zim wako vzr nkibahatika kwenda,nakumbuka nlikuwa naenda na uncle wangu mmoja yeye alikuwa anaenda kufunga mzigo wa super milk(maziwa)na kuyaleta hapa bongo kuuzaKuna historical facts ambazo zilitakiwa ziwe addressed. Ila kama kawaida, siasa zilipokuwa ngumu kwa Mzee Mugabe, akatumia ardhi kama kiboko cha kuwachapia wazungu, badala ya kuhakikisha Zimbabwe na wazimbabwe wananufaika na matunda ya uhuru wao. hakutumia busara. Akachukua waliojiita veterans na kupora mashamba. Akawapa watu ambao ni losers wa maisha waendeshe uchumi uliokuwa imara kweli kweli, bila kujari matokeo yake.
Katika kuwachapa viboko wazungu, vingine akajisahau na kujichapa mwenyewe. Rest Well Comrade..I really admired you President Mugabe. But I wish you could handle the issue of land distribution in a wise and considerate way.
mrangi hapo umebugi. Mugabe alikua lazima achukue ardhi kukamilisha ukombozi toka kwa walowezi. Ona jirani zake south afrika. Ukaburu uko palepale na weusi bado ni manamba tu hali karibu ni ileile enzi ya ukaburu. Wamebaki kugombea vibarua kwa wazungu hadi kuua wahamiaji waafrika wenzao maana ardhi yao yote iko mikononi mwa makaburu.Enzo zile zim wako vzr nkibahatika kwenda,nakumbuka nlikuwa naenda na uncle wangu mmoja yeye alikuwa anaenda kufunga mzigo wa super milk(maziwa)na kuyaleta hapa bongo kuuza
Zim ilikuwa vzr sana ukifika hutamani kuondoka
Na kweli kabisa ukichos3ma mugabe kuwanyanganya wazungu mashamba yao ile ilikuwa njia tu ya yeye kisiasa awa
Win wale freedom fighters sjui maveteran,haya walichukua mashamba je waliyafanyia nini
Zaidi ya kupiga porojo tu
Ova
mrangi hapo umebugi. Mugabe alikua lazima achukue ardhi kukamilisha ukombozi toka kwa walowezi. Ona jirani zake south afrika. Ukaburu uko palepale na weusi bado ni manamba tu hali karibu ni ileile enzi ya ukaburu. Wamebaki kugombea vibarua kwa wazungu hadi kuua wahamiaji waafrika wenzao maana ardhi yao yote iko mikononi mwa makaburu.
Ova
ACHA kussuport Mambo yasiyofaa, walitakiwa wawaongezee Kodi na sio kutaifisha, wangeshindwa wangeondokaTangu Balozi wa Marekani ate mbelen ofisi za makao makuu ya JF siku chache zilizopita, nahisi kabisa moderators na wamiliki mnashikiwa akili na Mabeberu, na hili jukwaa ni mradi tukufu wa mabeberu against Africanism.
Maana kazi yenu ni kuwaponda viongozi wa kiafrika hasa waliodiriki kuonesha uzalendo wao kwa kutanguliza maslahi ya waafrika kwanza.
Kwangu mimi hii ni aibu hasa kwa mleta maada maana ni wazi uko upande wa hao mabwana zenu.
Ardhi unairudisha kwa watu maskini na wala hawana mpango wa kuitumia hiyo ardhi
wanaoenda nchi za nje kusoma hawafanikiwi kwa sababu wana mindset kama ya kwako. Wazungu ni binadamu kama sisi na tumewazidi uwezo wa kuvumilia na kuhimili changamoto. Kizazi cha wazungu cha leo wengi hawataki shule na system zao za serikali zinawabeba. Sasa unakuta dogo analetwa kusoma huku anaaambiwa wazungu ni watu wabaya . Ukija huku unatakiwa kuwachukulia kama maboya tu na kujifunza kutokana na walichofanya mababu na baba zao.Tangu Balozi wa Marekani ate mbelen ofisi za makao makuu ya JF siku chache zilizopita, nahisi kabisa moderators na wamiliki mnashikiwa akili na Mabeberu, na hili jukwaa ni mradi tukufu wa mabeberu against Africanism.
Maana kazi yenu ni kuwaponda viongozi wa kiafrika hasa waliodiriki kuonesha uzalendo wao kwa kutanguliza maslahi ya waafrika kwanza.
Kwangu mimi hii ni aibu hasa kwa mleta maada maana ni wazi uko upande wa hao mabwana zenu.
Huo Utafiti ungeanza na Serikali ya Zim ambayo inawalipa fidia.Choice Variable
Tafiti jinsi hao Wazungu hasa 'basha' Cecil Rhodes walivyo mnyang'anya Chifu Lobengula ardhi(taifa/nchi) mifugo na migodi yake na kuwaauwa raia wake halafu uje utuambie nani anastahili kumlipa mwenzake.
Mkuu wa Imani wa nyakati hizo MLIMO alitabiri kuwa baada ya kufanyiwa unyama huo tutakuja kiwalipa fidia tukiwatoa.
Mmoja wa washenzi hao tunamtukuza huku Tanganyika na kuipa HIFADHI jina lake Selous😡