Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe

Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe

Cha kusikitisha zaidi ni kuwa ule upuuzi alioufanya Mugabe ulishabikiwa na wapuuzi kibao huko Zimbabwe na hata hapa bongo.

Watu weusi kwa kweli wamelaanika
 
Mvamizi alikuwa Mugabe ambaye alivamia na kupora haki za Wazimbabwe.

Na sababu alishindwa ku handle hiyo issue kwa busara, aliishia kufa anasononeka. Hakutegemea kama angegeukwa. Haya maisha yetu, tusipojifunza kuwa na kiasi, lazima tutaishia kubaya.
 
Hao Wazungu hayo mashamba waliyanunua kwa nani na kwa gharama kiasi gani?.

Wao gharama za kuua, kuumiza watu wetu na kukoloni ardhi yetu huku wakichukua raw materials bure wamemlipa Nani?.

Kuna historical facts ambazo zilitakiwa ziwe addressed. Ila kama kawaida, siasa zilipokuwa ngumu kwa Mzee Mugabe, akatumia ardhi kama kiboko cha kuwachapia wazungu, badala ya kuhakikisha Zimbabwe na wazimbabwe wananufaika na matunda ya uhuru wao. hakutumia busara. Akachukua waliojiita veterans na kupora mashamba. Akawapa watu ambao ni losers wa maisha waendeshe uchumi uliokuwa imara kweli kweli, bila kujari matokeo yake.
Katika kuwachapa viboko wazungu, vingine akajisahau na kujichapa mwenyewe. Rest Well Comrade..I really admired you President Mugabe. But I wish you could handle the issue of land distribution in a wise and considerate way.
 
Anayelipa fidia ni mkurupukaji na mwoga.ardhi walinyang'anywa waafrika na kijimilikisha wazungu pasipo kihalali.Mugabe alichokifanya ni kuirudisha Kwa wenyewe waafrika.
Ardhi unairudisha kwa watu maskini na wala hawana mpango wa kuitumia hiyo ardhi
 
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni ya fidia kutokana na kuporwa Mali Yao.

Uporaji wa mashamba ya Walowezi wa Kizungu ulifanyika kama kete ya Kisiasa ya Mugabe kushinda uchaguzi na ilipelekea Nchi hiyo kuwekewa vikwazo Vikali na kuporomoka Kwa Uchumi na kuigeuza Zimbabwe ambayo ilikuwa na usatwi kuwa Moja ya Mataifa ya kishenzi yaani failed state.

View: https://twitter.com/BloombergAfrica/status/1791501940385317125?t=O5kGCm3t2SSf7HdDHvEqKw&s=19

My Take
Hizo ndio hasara za siasa za Kukurupuka na mihemko.Kiko wapi Sasa? Unalipa na fidia Juu.

Kunae yule wa makinikia nae alitaka afanye hayo hayo kabla ya kurudi nyuma japo aliwafanyia wafanyabiashara wa Beureu De Change ambao Samia kawarudishia pesa zao.

Pia soma Zimbabwe: Mamia ya Wakulima wa Kizungu Waliotimuliwa na Hayati Mugabe Warejea kwa wingi kuendeleza kilimo chao

Wewe ndio unakurupuka hujui kwamba wanalipwa kiasi kile walichokua wamekataa kwamba ni kidogo. Kwanza huelewi umuhimu kisiasa na kiuchumi uliyokuepo wakati wa uhuru kuwanyang'anya hao walowezi ardhi unakurupuka kueleza kama ilikua kitu kibaya hakistahili. Zimbabwe walimwaga damu kwa ajili ya ardhi yao. Maelewano wakati wa uhuru ikawa uingereza ndio iwalipe walowezi maana wao lazima wachukue ardhi yao. Uingereza ilopoleta uhuni Mugabe akawapokonya wazungu ardhi yao baadaye ndio serikali ikakubai kuwalipa kiasi kidogo tu maana wao walipora hiyo ardhi kwa wazimbabwe hawakua wameuziwa.
 
Kuna historical facts ambazo zilitakiwa ziwe addressed. Ila kama kawaida, siasa zilipokuwa ngumu kwa Mzee Mugabe, akatumia ardhi kama kiboko cha kuwachapia wazungu, badala ya kuhakikisha Zimbabwe na wazimbabwe wananufaika na matunda ya uhuru wao. hakutumia busara. Akachukua waliojiita veterans na kupora mashamba. Akawapa watu ambao ni losers wa maisha waendeshe uchumi uliokuwa imara kweli kweli, bila kujari matokeo yake.
Katika kuwachapa viboko wazungu, vingine akajisahau na kujichapa mwenyewe. Rest Well Comrade..I really admired you President Mugabe. But I wish you could handle the issue of land distribution in a wise and considerate way.
Enzo zile zim wako vzr nkibahatika kwenda,nakumbuka nlikuwa naenda na uncle wangu mmoja yeye alikuwa anaenda kufunga mzigo wa super milk(maziwa)na kuyaleta hapa bongo kuuza
Zim ilikuwa vzr sana ukifika hutamani kuondoka
Na kweli kabisa ukichos3ma mugabe kuwanyanganya wazungu mashamba yao ile ilikuwa njia tu ya yeye kisiasa awa
Win wale freedom fighters sjui maveteran,haya walichukua mashamba je waliyafanyia nini
Zaidi ya kupiga porojo tu

Ova
 
mrangi hapo umebugi. Mugabe alikua lazima achukue ardhi kukamilisha ukombozi toka kwa walowezi. Ona jirani zake south afrika. Ukaburu uko palepale na weusi bado ni manamba tu hali karibu ni ileile enzi ya ukaburu. Wamebaki kugombea vibarua kwa wazungu hadi kuua wahamiaji waafrika wenzao maana ardhi yao yote iko mikononi mwa makaburu.

Hata SA, baada ya Mandela na Mbeki, waliofuata wameachana njia sahihi. Utadaije ardhi wakati unaiba dola za umma na kujaza kwenye mifuko ya salfeti unapeleka kuficha uarabuni?

How do you have the moral authority to conduct the exercise when your hands are fully of dirts? Unajua kwanini Nyerere hakukutwa na majanga yanayowapata wengine? Kuna mambo aliyaogopa..aliogowa kuwachukulia poa watanzania au kuwadharau mazima. Tusifanye masihara na public power and public opinion.

SA na Zibwabwe, kama ilivyokuwa kwa USSR, viongozi ni viongozi na wengine ni wengine na hamna lolote mnaloweza kufanya. Muda utaamua vizuri.

USSR collapsed. Hakuna mtu atakaa bila kula akakusikiliza. Zimbabwe njaa ya wananchi baada ya mashamba kuangukia mikono isiyostahili ilimfanya mtu yuleyule waliyempenda, awe ndio public enemy namba one. Na yeye Mzee wetu Mugabe, aliamini katika marafiki wachache ambao kweli mwanzoni walikuwa pamoja. halafu ikawaje? Aliambiwa imetosha kaa pembeni na hao hao marafiki.

Nyerere aliwahi kusema kitu alipoulizwa anajisikiaje kuona Azimio la Arusha limekufa...alisema, "mawazo makubwa huwa hayafi kirahisi...yana tabia ya kukataa kufa"

Binafsi nacheka kwa sababu, kuna wakati inapobidi kufanya jambo kubwa, inataka utulivu wa roho, akili na mwili. Sio mabavu

Na ili Zimbabwe ibadilike ili iwe tena nzuri, au SA iweze kufanyia kazi issues za kweli za ubaguzi wa rangi, lazim uongozi uwe uongozi safi. Mla rushwa na mwizi hataweza kubadili lolote
 
Tangu Balozi wa Marekani ate mbelen ofisi za makao makuu ya JF siku chache zilizopita, nahisi kabisa moderators na wamiliki mnashikiwa akili na Mabeberu, na hili jukwaa ni mradi tukufu wa mabeberu against Africanism.

Maana kazi yenu ni kuwaponda viongozi wa kiafrika hasa waliodiriki kuonesha uzalendo wao kwa kutanguliza maslahi ya waafrika kwanza.
Kwangu mimi hii ni aibu hasa kwa mleta maada maana ni wazi uko upande wa hao mabwana zenu.
ACHA kussuport Mambo yasiyofaa, walitakiwa wawaongezee Kodi na sio kutaifisha, wangeshindwa wangeondoka
 
Choice Variable
Tafiti jinsi hao Wazungu hasa 'basha' Cecil Rhodes walivyo mnyang'anya Chifu Lobengula ardhi(taifa/nchi) mifugo na migodi yake na kuwaauwa raia wake halafu uje utuambie nani anastahili kumlipa mwenzake.
Mkuu wa Imani wa nyakati hizo MLIMO alitabiri kuwa baada ya kufanyiwa unyama huo tutakuja kiwalipa fidia tukiwatoa.
Mmoja wa washenzi hao tunamtukuza huku Tanganyika na kuipa HIFADHI jina lake Selous😡
 
Tangu Balozi wa Marekani ate mbelen ofisi za makao makuu ya JF siku chache zilizopita, nahisi kabisa moderators na wamiliki mnashikiwa akili na Mabeberu, na hili jukwaa ni mradi tukufu wa mabeberu against Africanism.

Maana kazi yenu ni kuwaponda viongozi wa kiafrika hasa waliodiriki kuonesha uzalendo wao kwa kutanguliza maslahi ya waafrika kwanza.
Kwangu mimi hii ni aibu hasa kwa mleta maada maana ni wazi uko upande wa hao mabwana zenu.
wanaoenda nchi za nje kusoma hawafanikiwi kwa sababu wana mindset kama ya kwako. Wazungu ni binadamu kama sisi na tumewazidi uwezo wa kuvumilia na kuhimili changamoto. Kizazi cha wazungu cha leo wengi hawataki shule na system zao za serikali zinawabeba. Sasa unakuta dogo analetwa kusoma huku anaaambiwa wazungu ni watu wabaya . Ukija huku unatakiwa kuwachukulia kama maboya tu na kujifunza kutokana na walichofanya mababu na baba zao.
 
Choice Variable
Tafiti jinsi hao Wazungu hasa 'basha' Cecil Rhodes walivyo mnyang'anya Chifu Lobengula ardhi(taifa/nchi) mifugo na migodi yake na kuwaauwa raia wake halafu uje utuambie nani anastahili kumlipa mwenzake.
Mkuu wa Imani wa nyakati hizo MLIMO alitabiri kuwa baada ya kufanyiwa unyama huo tutakuja kiwalipa fidia tukiwatoa.
Mmoja wa washenzi hao tunamtukuza huku Tanganyika na kuipa HIFADHI jina lake Selous😡
Huo Utafiti ungeanza na Serikali ya Zim ambayo inawalipa fidia.

View: https://youtu.be/QM-5sYeCA7g?si=yrpxO5rH0cpUHBAf
 
Back
Top Bottom