Siasa za Kukurupuka: Hatimaye Zimbabwe Yaanza Kuwafidia Mabilioni Wakulima wa Kizungu Walioporwa Mashamba Yao na Mugabe

Cha kusikitisha zaidi ni kuwa ule upuuzi alioufanya Mugabe ulishabikiwa na wapuuzi kibao huko Zimbabwe na hata hapa bongo.

Watu weusi kwa kweli wamelaanika
Wanasiasa aina yake ni wale walitaka ku run kila kitu wakati capacity hiyo hawana.
 

Mugabe alipotoka vibaya sana kunyang'anya Ardhi za Wazungu na kuua uchumi wa nchi hiyo.



Mugabe alikosea kutekeleza jambo hili la kutwaa Ardhi ya Wazungu. Aliongozwa na Mihemko, Tamaa na Chuki binafsi dhidi ya Wazungu licha ya kujua kwamba Watu weusi waliopo katika nchi hiyo hawakuwa na uwezo wa kuitumia vizuri Ardhi hiyo.

Mathalani, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe wakati huo alipokuwa anawapokonya Ardhi raia Wazungu kwenye nchi hiyo alikuja na Sera yake iliyokuwa ikisema kwamba Mtu mmoja anapaswa amiliki shamba moja tu na wala siyo zaidi, yaani: "One Man One Farm." Lakini matokeo yake yeye mwenyewe Mugabe alijitwalia na kujigawia Mashamba mengi yapatayo 28 nchi nzima hali iliyosababisha manung'uniko katika jamii na yeye Rais kuingia kwenye migogoro mikubwa na washirika wake wa karibu Sana kwenye Utawala wake kama vile Mwanasheria Mkuu wa Serikali yake na Mkuu wake wa Majeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…