Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

Wewe ndio umeelewa vibaya..
Lengo la kuwa na GTL sio kwaajili ya kutengeneza gesi. Lengo la GTL ni kwaajili ya kuzalisha Luquid products (jet fuel, diesel na petroli) hizo ndio product zenye soko na uhitaji mkubwa kuliko hiyo gesi. LPG inayopatikana kwenye GTL ni byproduct.
 
Nimekuelewa hivyo hivyo. Nasema kwamba kama una petroli, itumie. Kama una dizeli, Alhamdullilah Mungu alikujaalia, itumie. Lakini kama una gesi, itumie kama gesi badala ya kuibadili iwe dizeli tena. Umesema LPG ni by product ya GTL, ya nini? Si uwaachie hawo wenye PETROLEUM yao, wewe jikite na gesi yako? Are you saying Petroleum refineries are now going to be making natural gas? Adam Smith alisema stick to what you can do best.

Matumizi ya gas ni for power generation, factories, motor vehicles, and households. Umengangania (sic!) jet fuel a tiny part of global fuel usage, labda nikumubushe tu kuwa jet engines hutengenezwa na Rolls Royce ni hawo hawo hutengeza car engines. Siku wakiona economics zinaruhusu watabadilisha engine. Adam Smith alusema yote 9, la 10 ni entrepreneur.
 
Naomba nikusahihishe kidogo.

LNG sio freezed gas bali ni condensed gas. Ukifreeze kitu kinakua yabisi (solid). Ukicondense kitu ndipo kinakua ni kimiminika (liquid). LNG ni liquified Natural gas.

Lakini pia hiyo temperature ya kuibadili gesi kua LNG sio minus 261 C degrees (-261 C degrees) bali ni -162 C degrees.

Sasa kama unashindwa kuandika kwa usahihi hizi parameter za kawaida. Unawezaje kufanya economic evaluation ya mradi mkubwa na kutuletea conclusion kirahisi hivyo.

Mkuu nikuweke tu wazi kama GTL ingekua hailipi, basi hiyo nchi isingepoteza pesa zake kuijenga. Mkuu wewe huwezi kuwazidi akili wazungu. Hilo sahau haya mambo yote yanaanzia kwao Sisi tunaiga tu. Sasa ukijifanya wewe ndio unajua kufanya economic evaluation kuliko hao jamaa unaleta chai hapa.
Kama hizo chai za kufreeze gas kuwa LNG na temperature za uongo.

Na hizo GTL zote nazozizungumzia zipo kwenye mpango wa serikali tangu mwaka 2010. Labda tu kama huna taarifa hizo. Ndio nakuibia siri hiyo. Ukitaka articles naweza kukutumia mipango ya serikali ya monetization of natural gas to increase the value chain.

Sasa watu wa serikali watakuona waajabu kupinga mambo ya muhimu kama haya. Serikali ilishafanya evaluation zamani mitaji ndio haijapatikana tu. Hadi gesi itakayotumika katika hizo GTL walishafanya mahesabu.
 
Gas to Liquid (GTL) Project Potential demand for GTL products is quite promising in Tanzania as the country depends on 100% imports of these products. It is estimated that GTL will consume 1.8 TCF of Natural Gas over a period of 20 years. A GTL plant with three trains each with capacity of 15,000bpd is proposed.
 
Mkuu hiyo uliyozungumzia hapa ni tofauti kabisa na technologia aliyoleta hapa huyo mtoa mada...injini haibadirishwi wala nini, inaongezewa tu kifaa kinachosaidia extra combustion ...hivyo gas hugeuzwa kuwa liquid fuel ambazo hutumika katika injini za kawaida tu... mataifa kama Romania, Bulgaria na Russia yameendekeza sana utumiaji wa technogy hiyo na magari yao mengi - taxi na Uber kwa asilimia kubwa katika nchi tajwa zonatumia gas tu liquid katika magari yao...
 
Hizo ndiyo kazi za kisomi.
Unageuza ulichonacho kupata unachotaka.

Siyo mtu sayansi zimelala kichwani unashindana na kibajaji kupiga piga meza mbele Ndugai[emoji849]
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
 
Nadhani ni njia nzuri kukabiliana na janga la mafuta kupanda kila uchao...lakinu pia niliwahi kusikia kuna miti inalimwa hapa TZ inazalisha diesel naona ikawa bla bla tu
😋😋😋😋😋😋😋
 
In fact ukifuatilia mjadala huu utajua sisi watanzania we're good in discussing and not doing

Ndio maana hata wachambuzi wa mpira wa nchi hii ni mahiri sana lakini sio kwenye utendaji

We're lagging behind tukiendelea na katabia haka kanakooneshwa hapa jamii forum
 
Kuibadili gesi asilia yetu kuwa mafuta ya petroli na dizeli kunaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
 
Jibu ni ndiyo kwa maswali yote isjpokwa la mwisho. Lubricant tunaweza kuagiza kama tufanyavyo sasa.
 
Mbona kijijini kwangu matumizi ya gas ya mitungi yamepanda!
 
Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG
 
Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG
 
Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…