Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia.

Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa kuanza uzalishaji katika kiwanda chake za kwanza cha kubadili Gesi asilia kuwa mafuta ya magari na ndege (GTL).

Kiwanda hicho chenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 3.6 ambacho kipo katika wilaya ya Guzar katika mkoa wa Kashkadarya kitasaidia nchi hiyo kupunguza utegemezi wa mafuta yanayoagizwa kutoka mataifa ya nje.

Kiwanda hicho kinamilikiwa na kampuni ya serikali ya mafuta na gesi Uzbekneftegaz kwa kushirikiana na Sasol ya Afrika Kusini.

Kiwanda hicho kitakua kina chakata gesi asilia ili kuzalisha mafuta safi ya magari na ndege. Kuanza kwa hicho kiwanda kutaipunguzia Uzberkistan kuagiza dizeli na mafuta ya ndege (Jet fuel) kutoka mataifa ya nje.

Kiwanda kinauwezo wa kuchakata kyubiki mita bilioni 3.6 za gesi asilia kila mwaka. Kitakua kinazalisha tani milioni 1.5 za mafuta ya magari na ndege yenye ubora.

Kitakuwa na uwezo wa kuzalisha tani laki tatu na elfu saba za mafuta ya taa (307,000t of kerosene), tani laki saba elfu ishirini na nne za dizeli (724,000t of diesel), tani laki nne elfu thelathini na saba za naphtha (437,000t of naphtha), na tani elfu hamsini na tatu za LPG (inayofanana na gesi za akina Oryx, Mihani na Lake). Naphtha itatumika kuzalisha mafuta ya petroli yenye ubora wa hali ya juu.

Bidhaa hizo za mafuta zitasambazwa nchini ili kufikia mahitaji ya ndani and pia zitasafirishwa kwenye mataifa ya nje.

Kiwanda hiki cha kubadili gesi asilia kuwa mafuta kina key production facilities nne ambazo ni:
1.Utilities supply plant,
2.Synthesis gas production plant,
3.Synthesis liquid production plant, and
4.Product work-up plant.

Screenshot_20210712_152658.jpg

Process nzima inaitwa GAS TO LIQUIDS (GTL). Unaweza kuiangali kwenye hizi video hapa chini kisha ukatoa maoni yako.

Inawezekana tatizo hapa ni lugha. I mean, kwa nini ugeuze gas iwe dizeli? Tayari una mafuta ya taa, kwa nini uchukue gas utengeneze mafuta ya taa mengine?

Nadhani unachosema ni CGD - City Gas Distribution - ambapo viwanda na taasisi kama barracks au hospitali, na watu wa kawaida.

Pia, magari kama ya mwendokasi au uber au bajaj zinabadilishiwa injini yake itumie gas badala ya dizeli au petroli. Gas is cheaper than dizeli than mafuta ta taa. Au sijakuelewa?
 
Inawezekana tatizo hapa ni lugha. I mean, kwa nini ugeuze gas iwe dizeli? Tayari una mafuta ya taa, kwa nini uchukue gas utengeneze mafuta ya taa mengine? Nadhani unachosema ni CGD - City Gas Distribution - ambapo viwanda na taasisi kama barracks au hospitali, na watu wa kawaida. Pia, magari kama ya mwendokasi au uber au bajaj zinabadilishiwa injini yake itumie gas badala ya dizeli au petroli. Gas is cheaper than dizeli than mafuta ta taa. Au sijakuelewa?
Elewa hivyohivyo nilivyo andika mkuu. Wala usigeuze chochote. Mafuta ndio yenye dili kuliko gesi. Na ndio sababu unawaona hao wanabadilisha hiyo gesi kuwa mafuta. Nadhani hata wewe hilo unalifahamu vizuri.

Na ndio sababu unaona japokua tuna gesi lakini bado tunaendelea kuyatafuta mafuta. Kwenye mafuta unapata bidhaa nyingi kuliko kwenye gesi. Na ndio maana unaona hao jamaa wanajenga hicho kiwanda waibadirisha gesi inakua mafuta (kimiminika)
 
Inawezekana tatizo hapa ni lugha. I mean, kwa nini ugeuze gas iwe dizeli? Tayari una mafuta ya taa, kwa nini uchukue gas utengeneze mafuta ya taa mengine? Nadhani unachosema ni CGD - City Gas Distribution - ambapo viwanda na taasisi kama barracks au hospitali, na watu wa kawaida. Pia, magari kama ya mwendokasi au uber au bajaj zinabadilishiwa injini yake itumie gas badala ya dizeli au petroli. Gas is cheaper than dizeli than mafuta ta taa. Au sijakuelewa?
Angalia kuna video nimeziupload hapo zitakupa mwanga kitu kinachofanyika.
 
Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia.

Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa kuanza uzalishaji katika kiwanda chake za kwanza cha kubadili Gesi asilia kuwa mafuta ya magari na ndege (GTL).

Kiwanda hicho chenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 3.6 ambacho kipo katika wilaya ya Guzar katika mkoa wa Kashkadarya kitasaidia nchi hiyo kupunguza utegemezi wa mafuta yanayoagizwa kutoka mataifa ya nje.

Kiwanda hicho kinamilikiwa na kampuni ya serikali ya mafuta na gesi Uzbekneftegaz kwa kushirikiana na Sasol ya Afrika Kusini.

Kiwanda hicho kitakua kina chakata gesi asilia ili kuzalisha mafuta safi ya magari na ndege. Kuanza kwa hicho kiwanda kutaipunguzia Uzberkistan kuagiza dizeli na mafuta ya ndege (Jet fuel) kutoka mataifa ya nje.

Kiwanda kinauwezo wa kuchakata kyubiki mita bilioni 3.6 za gesi asilia kila mwaka. Kitakua kinazalisha tani milioni 1.5 za mafuta ya magari na ndege yenye ubora.

Kitakuwa na uwezo wa kuzalisha tani laki tatu na elfu saba za mafuta ya taa (307,000t of kerosene), tani laki saba elfu ishirini na nne za dizeli (724,000t of diesel), tani laki nne elfu thelathini na saba za naphtha (437,000t of naphtha), na tani elfu hamsini na tatu za LPG (inayofanana na gesi za akina Oryx, Mihani na Lake). Naphtha itatumika kuzalisha mafuta ya petroli yenye ubora wa hali ya juu.

Bidhaa hizo za mafuta zitasambazwa nchini ili kufikia mahitaji ya ndani and pia zitasafirishwa kwenye mataifa ya nje.

Kiwanda hiki cha kubadili gesi asilia kuwa mafuta kina key production facilities nne ambazo ni:
1.Utilities supply plant,
2.Synthesis gas production plant,
3.Synthesis liquid production plant, and
4.Product work-up plant.

View attachment 1850375

Process nzima inaitwa GAS TO LIQUIDS (GTL). Unaweza kuiangali kwenye hizi video hapa chini kisha ukatoa maoni yako.

Kwani sisi tunakwama wapi?
Cc. CCM
 
Back
Top Bottom