Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kwenye mapenzi ni contextual entry strategy but expansively am all round and squarely pundit.Kwaiyo wewe umeanza lini kuchambua siasa na wakati wewe ni expert wa Jukwaa la Mapenzi.
Aisee Mkuu , Mungu akulindeKwenye mapenzi ni contextual entry strategy but expansively am all round and squarely pundit.
Ngoja zianze siasa za viduku za majukwaa ndio utajua mimi ni multidisciplinary katika uhalisia.
vipi mkuu una hofu yoyote? utapata sana madini toka kwangu siasa zikishika kasi watakuja sana kutembea na comments Hala jukwaaniAisee Mkuu , Mungu akulinde
That way I pray for youvipi mkuu una hofu yoyote? utapata sana madini toka kwangu siasa zikishika kasi watakuja sana kutembea na comments Hala jukwaani
angalia nimeongeza phrase ya English ambayo ntakuja kuipa thread huko siku Aikaeli, Zito na Lipumba wakipanda jukwaaniAisee Mkuu , Mungu akulinde
Kwanini usianze kuwatibu wake zako ili wapone ? Makalio uliyodai yameungua kwa mkorogoangalia nimeongeza phrase ya English ambayo ntakuja kuipa thread huko siku Aikaeli, Zito na Lipumba wakipanda jukwaani
Hahahaaa sio wake mimi ni kisemeo au mouth piece sio kila thread inabeba uhalisia wangu, ila ni ukweli wanawake wengi wana mabaka mabaka mwili, nikiona demu ana mabaka mabaka au makovu nawapiga chini na ninekutana na sample kama 5 hivi nikaghaili, sifanyi kosa.That way I pray for you
Maana recently ulileta thread kuwa wake zako unaotembea nao wameungua makalio.
Kwaiyo wewe umeanza lini kuchambua siasa na wakati wewe ni expert wa Jukwaa la Mapenzi.
Umebadili maudhui daahKwanini usianze kuwatibu wake zako ili wapone ? Makalio uliyodai yameungua kwa mkorogo
That way I pray for you
Maana recently ulileta thread kuwa wake zako unaotembea nao wameungua makalio.
Umebadili maudhui daah
Musaja lekaa nawe, tulekee mapenzi, tulikupolitics let's jam with political space and it's prospective vibrancyKwanini usianze kuwatibu wake zako ili wapone ? Makalio uliyodai yameungua kwa mkorogo
Umebadili maudhui daah
Kwenye mapenzi sihami na Leo nakuja na kitu kikali amazing wait and seeHamna wewe ndo tegemeo lao
Naingia na Uzi uko Sasa hiviWewe ndiye uliyebadili maudhui ndio maana kila mtu anakushangaa. Ungerudi tu kwenye maudhui yako ya ngono na mapenzi.
Imekuwaje mtaalam wangono una vamia siasa?
Itakuwa yuko mapumziko ya ngono