Siasa za majukwaa awamu hii ya Rais Hassan itakuwa ni vioja

Siasa za majukwaa awamu hii ya Rais Hassan itakuwa ni vioja

"Political manipulation with protection and defence"

Chadema iliyolamba asali, ACT iliyolamba asali, NCCR na CUF za Msajili, na vyama vingine mdebwedo, jiandaeni kwa vichekesho. Mimi sio mtabiri ila hali ndio itakuwa hivyo, hii inaitwa awamu mpito na awamu mseto.

Tanganyika haina furaha na furaha feki inalazimishwa kwa kulambisha asali watu wachache.

Ni hayo tu katika mchanyato


Wadiz
CC wakali wote wa jukwaa
Hivi hapo ulipoandika "iloyolamba asali" unamaanisha nini?Tuanze hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom