run CMD
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,185
- 3,909
narudia tena hujawahi ingia mahabara yoyote labda zile za wapiga ramliMjinga kweli kweli.Kwa hiyo unaamini tunapata knowledge from hard copies tu.Umechelewa sana.Infact ukifanya presentation au ukifundisha kwa kutumia video audience yako inakuelewa zaidi.Labda kwa sababu umenichokoza nikuambie wazi elimu yangu.
1.Mimi nimechukua Soil Science halafu nime specialize in Pedology.Pedology nimechukulia Agricultural University of Norway.
2.Nimechukua pia
Microbiology with specialization in Virology.Hii ni Programme ambayo niliichukulia Uppsala University kwa kushirikiana na Agricultural University of Norway at As.