#COVID19 Siasa za nchi yetu na wingi wa vifo mitaani

narudia tena hujawahi ingia mahabara yoyote labda zile za wapiga ramli
 
Unaweza ukawa na makaratasi ambayo mnaita vyeti ila bado ukawa mjinga, umeulizwa speciality yako kwenye virology , mpaka mda huu ni chanjo gani ya virus umegundua?
 
Ujuaji wako baki nao kwako na familia yako , waweza jiona mwelevu ,kumbe limbukeni wa kutupa, Kama unayajua lipi umefanya elimisha jamii yako iliyokuzunguka, ?
🤣🤣🤣🤣
Ulivyo serious utafikiri unajua lolote🤣🤣🤣🤣
 
Corona dudu hatari hili. Ukidungwa chanjo unakwenda usipodungwa unakwenda hapa ni Mungu tu atusaidie.
 
Inawezekana pia mtu akawa na cancer au na ugonjwa wowote ule lakini akafa kwa sababu ya Corona na sio ugonjwa aliokuwa hapo awali.
 
Katiba hii mbovu inatoa mwanya viongozi kufanya upuuzi kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…