Siasa za Rangi: Hakika watanzania walichagua njia sahihi za kupatia maendeleo

Siasa za Rangi: Hakika watanzania walichagua njia sahihi za kupatia maendeleo

Locomotive23

Member
Joined
Dec 9, 2019
Posts
5
Reaction score
1
Moja ya kumbukizi ya mamboleo ni kuhakikisha unawapa na kutoa Sifa mathubuti Kwa watu weupe (shit) people hawa mara nyingi huwa ni wanasiasa wakiwemo kama Bashe WA zamani, Heche, Sugu, Shonza n.k maana ni wepesi kuongea mambo mazito walizani wamefundisha jamii Yao kumbe ni kusikiliza na kucheka baada ya hapo sahau

Watu weupe hata siku moja matatizo ya wananchi siyo ya kwao zaidi ya kunyosha vidole Kwa wengine matarani unaweza sikia CCM inakandamiza democracy wakati vyombo vya kubadili jamii vipo kwao na viongozi huongea mambo Yao...

Kwa watu weupe Kwa Leo tuishie hapo Ndiyo maana kila kitu hishindikana Kwa sababu ya kuinvest kwenye kuongea maneno zaidi ya vitendo... Kwao ongezeko la watu fursa maana huwa na tafsiri mbili katika uboreshwaji WA maisha ... Watu weupe ni rahisi kungangania kaulimbiu moja na kusahau nyingine lukuki kwenye uwanja WA maneno...

Kama kilimo Kwanza (hola) na serikali vya viwanda (hola) inabidi tujue watanzania watafanya nini baada ya hayoooo...

Watu hao mara nyingi huwa ni wepesi kuharibu kila kitu wataanza na VIWANDA, wakimaliza wakaanza kuchezea hata miamba ya ardhi ili wapate vitu vya kuongea.. wakishindwa wanaanza maisha ya udukuzi wa vichwa vya watu wakidhani wao wanalolote wengine hawana lolote watu weupe nuksi Sana

 
Walio invest kwenye Siasa za music hao watu wapo KAZI Yao ni kupiga marimba wamevaa kofia kama tafsiri ya Kwanza nuksi. "mliona Raha kutuonjesha"

 
Back
Top Bottom