Siasa za Tanzania bila katiba mpya ni sawa na CCM kuumiliki upinzani

Siasa za Tanzania bila katiba mpya ni sawa na CCM kuumiliki upinzani

cumbamalema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
366
Reaction score
820
Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM, hebu fikiri mkuu wa wilaya ni mkuu wa kamati ya ulinzi wa wilaya na RPC yuko chini yake na wote wanateuliwa na Rais na ni makada wa CCM pamoja na Mkuu wa Mkowa naye ni hivyohivyo, sasa mnatarajia tutegemee nini?

Cha kufanya susieni chaguzi zote mpaka tutakapopata katiba mpya, tupate wakuu wa mikoa na wilaya wa kuwachagua wenyewe kwa kura siyo wa kuteuliwa na mtu, hapo jeshi la polisi litatenda haki vinginevyo tutabaki kulialia mpaka Yesu aludi
 
kipi ni bora katiba mpya itakayosimamia mambo yote kwa haki au kushiliki uchaguzi ambao kupitia madhaifu yetu ya kikatiba CCM wananufaika nayo
 
Back
Top Bottom