Siasa za Tanzania, Kanisa Katoliki lipo kwenye Maombi ya Kufunga

John Manoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2020
Posts
612
Reaction score
382
Sala na Kazi
Ujasiri wa wananchi wanaonyonywa Kinyume na wanamtandao wanyonyaji.
Mshikamano kukabiliana na uhuni kwenye uchaguzi dhidi ya waliojipanga kutumia mahakama kuua fikira. Ni kama kondoo kati ya mbwa mwitu.

Nani panya atamfunga paka kengele?

Tumrudie Mungu Mwenyezi, Mungu wa Paulo na Sila mfungua pingu na milango.Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo.
Bwana utuhurumie,
Kristu utuhurumie
Bwana utuhurumie.
 
NRNE
 
Back
Top Bottom