Siasa za Tanzania ni sumu kwa maendeleo ya nchi

Siasa za Tanzania ni sumu kwa maendeleo ya nchi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Great Thinkers

Kama wewe ni great thinker wa ukweli utakuwa umeshalingundua hilo.

Ngoja nitaje mambo machache

1. Rais akiingia madaraani miaka mitano ya kwanza ni kuunda serikali tumbua yule, weka huyu, komesha wafitini wake, badilisha wakuu wa mikoa /wilaya nk.

2. Kipindi cha pili miaka mitano Raisi anaanza kuaanda mazingira ya kumpata raisi mwingine wa chama chake hapo ni ugomvi mwanzo mwisho ndani ya chama na serikali Kipindi chake ndo kimeisha hicho hakuana la maana .

3. Rais anaingia mwingine kazi yake ni mambo mawili hapo juu hakuna ajenda ya maendeleo hata moja ni kuwatengenezea ulaji wale tu marafiki na waliomweka madarakani Basi. inshort siasa ni ajira za watu Binafsi na hawapo kwa ajili ya maendeleo ya taifa.

4. Jaribu kufuatilia mipango mingi ya serikali dealine yake huwa ni mwaka fulani ujao wa uchaguzi, utafikiri Baada ya uchaguzi hakutakuwa na watu, huwezi kusikia mipango ya miaka 20 au 30 mbele

5. Wapinzani wa tanzania wanatumika zaidi na CCM kuliko sisi wanachama wao tunavyofikiria, kama hujui rejea siasa za lipumba, zito na slaa 2015, au uliza akina mtatiro, nasari mashinji NK wako wapi sasa, msululu ni mrefu mwisho wa upinzani ni kurudi CCM.

Narudia Taifa hili halitakaa liendelee, uingereza ndani ya miezi miwili mawaziri wakuu wawili wamejiuzuru kwa sababu ya kuwajibika na uzalendo, je huku kwetu mara ya mwisho kusikia. kiongozi kawajibika ni lini.?

Mpaka sasa Tanzania haina kiongozi mwenye maono na Dira ya maendeleo ya Taifa, Nchi inatembea kama kipofu haijui inaelekea wapi.

Realy this is the black continent.
 
Wewe jitahidi kuwa mkweli unalinganisha uingereza na nchi kama Tz yenye viongozi wasio kua na aibu au aiba acha hizo
 
Hii nchi ina matatizo makubwa san mawili. Na matatizo hayo ni CCM na katiba ya mwaka 1977.

CCM Chanzo Cha Matatizo.

Nchi hii hamna kitu kinachoitwa maslahi ya taifa, kuna maslahi ya CCM, na maslahi ya wajanja wachache
 
Back
Top Bottom