Siasa za Tanzania, Shilingi ya Tanzania na Maisha ya Watanzania

Siasa za Tanzania, Shilingi ya Tanzania na Maisha ya Watanzania

Shillingi 1 ya kenya ni sawa na 20.5tsh mwananchi wa chini akiwa na15ksh ambayo ni sawa na 300tsh anauwezo wa kupata kikombe cha chai na makande maisha yakasogea,kwa upande wa bongo hali ni tofauti...
Bongo ujanja ujanja mwingi
 
Hivi JPM mtu mwinyi akili timamu narudia tena MWENYE AKILI TIMAMU unaweza kusema alikuwa KIONGOZI BORA labda alikuwa bora kwa UONGO na kuwafanya WATANZANIA walio kuwa na akili ya chini kumuamini hadi na badhi ya wanao jifanya wasomi NJAA kumsupport UONGO wake.

Mtu kaanzisha miradi mikubwa kwa pomoja na kudanya inajengwa kwa fedha za ndani ili hali ni uongo mtupu hadi anakufa hakuna mradi wowote umefika asilimia hata 50%
Kuna msemo unasema sn UONGO UKISEMWA SANA UBADILIKA KUWA UKWELI na hili JPM alifanikiwa sn.
Huna unalolijua kijn

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vyote tunaweza, tatizo wale wala kwa urefu wa kamba zao mpaka wanasaza ni wengi...
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Kama Nyerere na uzalendo wake wote ule alishindwa! Basi hakuna mwingine atakayeweza!

Labda atokee Nyerere mwingine (Nyerere Junior) mwenye maono na akili mara mbili ya zile za Nyerere Senior, hakika mambo yatakuwa bam bam.
Mzalendo hawezi kuwa mdini,mwenye akili hawezi ku-conspire dhidi ya jamii ambayo ni zaidi ya 50%,huko ni kuandaa bomu la wakati ovu zaidi ya nyuklia
 
Kumbe najibizana na mjinga!!!?
Panya Lodi ndiyo nn? Kama hata kuandika hujui utaweza kujibu hoja zangu?
Sasa hapo kuna hoja hipi?nikikuuliza Magufuri ameua /kuteka watu wangapi kwa ushaidi, unaweza kuwataja? Magufuri alikuwa akipambana na waharifu lakini raia wema hakuwa na shida nao, ndio maana baada ya kufa wezi, mafisadi, panya rodi wote wameibuka upya.
 
Ndiyo.
Bensa8
Azory Gwanda
Roma Mkatoliki
No Dewji
Tundu Lisu
Na wengine wengi.

Bwabwaja Tena ujibiwe
Wengine Chadema iliwateka na kuwahua ili jina la Magufuri litangazwe vibaya mbele ya jamii,Slaa juzi alisema kunakikosi ndani ya Chadema kilikuwa kinafanya mambo hayo,Mo yupo hajawai kusema alikuwa ametekwa na utawala wa Magufuri,huyo Azory Gwanda alikuwa na impact hipi ktk utawala wa Magufuri mpaka amuue?acheni maneno ya vijiwe vya kahawa
 
Mkuu Pamoja na kua na viongozi imara.

Gwajiboy wanamdharau ila ukweli ni kwamba ni tunahitajika kua na Maono yetu kama Taifa, Maono ambayo kazi ya Kiongozi itakua ni kuyasimamia tu ili yatakelezwe.

Kwa mfano, Samia Kwa Sasa asingeruhusu JNHPP ichezewe Kwa sababu ni Moja ya Maono yetu kua na Umeme wa uhakika na WA bei nafuu.

Lkn kinachoendelea simnakiona?

Sasa kwakua Taifa halina Maono, ndio tunarudi kupambana ili Tupate MAGUFULI MPYA.
Nchi haiwezi kuongozwa na mtu mmoja. Labda kama wewe ni muumin mzuri wa propaganda za motivation speakers. Au wa mitume na manabii waliojazana siku hizi kutenda maelfu ya miujiza ambayo hata Kristo hakufanya. Btw, Magufuli was very good at feel-good hype. Lakini the down-to-earth REALITY, ni kwamba lazima mifumo imara iwepo ndipo mambo yaende. Tukishindwa kabisa kujijengea taasisi na mifumo imara tujiandae kuelekea kuwa failed state! China wenyewe pamoja na udikteta, wanazo taasisi na mifumo ya uhakika na wana red lines zao ambazo hazichezewi hata na Mwenyekiti Xi.

Kutarajia masihi aje kuiongoza nchi ni kuendekeza matapeli kwenye utawala wa nchi, kosa tunalofanya hadi sasa.
 
Umenena vyema
 
Wengine Chadema iliwateka na kuwahua ili jina la Magufuri litangazwe vibaya mbele ya jamii,Slaa juzi alisema kunakikosi ndani ya Chadema kilikuwa kinafanya mambo hayo,Mo yupo hajawai kusema alikuwa ametekwa na utawala wa Magufuri,huyo Azory Gwanda alikuwa na impact hipi ktk utawala wa Magufuri mpaka amuue?acheni maneno ya vijiwe vya kahawa
Usukuma gang utakuuwa. Hata umtetee vipi kishakufa na hstarudi Tena. Nchi iko mikononi mwa Samia mpk 2030
 
Back
Top Bottom