Siasa za Tanzania: Ukabila na Ukanda sasa rasmi, mwanzo wa kuanguka umoja wa Kitaifa-Uchaguzi wa CCM umedhihirisha!

Siasa za Tanzania: Ukabila na Ukanda sasa rasmi, mwanzo wa kuanguka umoja wa Kitaifa-Uchaguzi wa CCM umedhihirisha!

Ukitaka kujua Tanzania kuna ubaguzi anza michakato ya kufuatilia passport ya kusafiria au tafuta nafasi ya uongozi kulenl kuanzia kule mashinani.
 
To mifano sasa, si wote tulifuatilia uchaguzi wa CCM. Ukanda, udini, ukabila ulijitokezaje?
Wamejaa wasukuma kwenye CC ya CCM kama 80% hivi, hii ni hatari sana kwa umoja na mshikamano wa taifa letu!
 
Wamejaa wasukuma kwenye CC ya CCM kama 80% hivi, hii ni hatari sana kwa umoja na mshikamano wa taifa letu!
Then you have a point. Swali kubwa: wamejaaje huko wakati CCM ni "multilingual" ie all tribes are in CCM? Does it mean that the majority of members of that conference were sukumas?
 
Wamejaa wasukuma kwenye CC ya CCM kama 80% hivi, hii ni hatari sana kwa umoja na mshikamano wa taifa letu!
Hili liliasisiwa na mwendazake na CCM imelifumbia macho na kufikiri its business as usual.
 
Then you have a point. Swali kubwa: wamejaaje huko wakati CCM ni "multilingual" ie all tribes are in CCM? Does it mean that the majority of members of that conference were sukumas?
Kumbuka mpango wa mwendazake kusuka kutaka kubadili mazingira ili kujiongezea kipindi cha urais au kuwa rais wa maisha!
Yule mbunge aliyekuwa akitaka katiba ibadilike ili aongezewe kipindi sijui yuko wapi.
Na mbubge wa huko Rukwa aliyesema mwendazake apende asipende, ataongezewa muda.
Ile ilikuwa siyo bure, mkakati ulikuwa kuweka mambo sawa ili vikao vinavyohusika vikae sawa kimakundi.

Na huo ulikuwa mwanzi rasmi wa kuindiza ukanda/ukabila kwenye siasa.
 
Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi.

Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri na kwa kila mtu kujionea kwa macho yake yanayoendelea nchini.

Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili kila mtu akione ni uchaguzi wa CCM kwa kuwania viti vya NEC.

Kwa princile ya wengi wape basi nchi hii itatawaliwa na watu toka pande fulani tu za nchi.

Tunajua mambo haya kuanzia uchaguzi huu, tulianza na "Mitandao" Awamu ya Tatu na NNe, na Awamu ya Tano ndio ikawa funga kazi, Mwenyekiti wa CCM aliyekuwepo na Rais vile vile alipendelea wazi wazi "wale waliomchagua".

Kama tulikuwa tunaisikia tu Apartheid kwa makaburu -yaani maendeleo ni kwa majimbo fulani tu, sasa laana hii ipo nchini.

The writing is on the walll, umoja wa kitaifa umeanza kupata nyufa.View attachment 2448450
CCM imemaliza mkutano mkuu salama na wametoka wamoja,hii ya kupasuka imetoka wapi tena?,
Mwenykiti alichaguliwa kwa kura nyingi sana,karibu zote,kadhalika uchaguzi up ulikuwa huru na wa haki kabisa,kila mjumbe aliridhika
 
Ukanda wa pwani uko vizuri kisiasa. Kanda nyingine mtaburuzwa mpk mtaita maji "mma".

Huyo Nyerere mwenyewe alitoka uzanakini huko na kukimbilia kuomba msaada wa wazee wa Pwani ktk harakati zake.

Akina Abdallah Hanga, mzee Sykes, Bibi TIti Mohammed, n.k ni baadhi tu ya majina ya watu wa Pwani waliomsaidia Nyerere ktk mapambano.
Pwani hawajui siasa zaidi ya majungu, fitina ,zengwe ,roho mbaya na uchawi , hawana la ziada na ndio yalipo maringo yao,sio siasa,acha ufala
 
Kwani watafanyaje? Kwani wale wafuasi wa Lowasa walifanyaje!

We hujui hata wananchi hawana muda na hizo siasa, wao watakachoambiwa na serikali ndio wanashika, sasa upo kwenye chama ujaribu kuleta uasi uone

Kamuulize Ndugai na Bashiru
Kwani BASHIRU mmemfanya nini,si katema nyongo na bado anadunda?
 
Mimi sijivunii, naongea uhalisia ulivyo.
Kwa katiba ya CCM ilivyo, na Katiba ya nchi ilivyo na wananchi wa Tanzania ambao interest yao kuu ni mpira wa simba na yanga na udaku,
Hakuna mtu anayeweza kuitikisa serikali kwa sasa na miaka mingi ijayo, hata awe na umaarufu gani

Nikuulize swali simple tu, Magufuli alipofariki, na kuacha maswali mengi, kuna mtu hata mmoja alijaribu kuhoji? Kama Rais aliyekuwa na nguvu vile alifariki kwa mazingira yale na hakuna aliyehoji, kipi kikubwa zaidi watakachohoji?
Kwahiyo mliua ambavyo hamkuhojiwa mkajiona ndio kila kitu sio?
 
Kwani JPM alikuwa amejizatiti kama Lowasa? JPM hakua na nguvu wala mtandao, na ndio kilichombeba
JPM alipojifanya chama ni mali yake na kuwageuka waliomuweka ni nini kilichomkuta? Yupo wapi huyo JPM kwa sasa?
Imani yangu iko siku mtatajana hadharani,sio corona wala ugonjwa wa moyo kama mlivyodanganya awali
 
CCM imemaliza mkutano mkuu salama na wametoka wamoja,hii ya kupasuka imetoka wapi tena?,
Mwenykiti alichaguliwa kwa kura nyingi sana,karibu zote,kadhalika uchaguzi up ulikuwa huru na wa haki kabisa,kila mjumbe aliridhika
Soma vizuri mada na uielewe mkuu!
 
Kumbuka mpango wa mwendazake kusuka kutaka kubadili mazingira ili kujiongezea kipindi cha urais au kuwa rais wa maisha!
Yule mbunge aliyekuwa akitaka katiba ibadilike ili aongezewe kipindi sijui yuko wapi.
Na mbubge wa huko Rukwa aliyesema mwendazake apende asipende, ataongezewa muda.
Ile ilikuwa siyo bure, mkakati ulikuwa kuweka mambo sawa ili vikao vinavyohusika vikae sawa kimakundi.

Na huo ulikuwa mwanzi rasmi wa kuindiza ukanda/ukabila kwenye siasa.
noted! SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema kuwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Kessy (CCM) aje na azimio la kutaka Rais Dk. John Magufuli aongezewe muda baada ya mwaka 2025 hata kama hatak
 
Huyu andunje cjui amepotelea wap now?????
noted! SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema kuwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Kessy (CCM) aje na azimio la kutaka Rais Dk. John Magufuli aongezewe muda baada ya mwaka 2025 hata kama hatak
 
Hili liliasisiwa na mwendazake na CCM imelifumbia macho na kufikiri its business as usual.
Wewe na fazili mnaosema kamati kuu (CC) imajaa Wasukuma 80% toeni orodha muiweke hapa, mimi naanza kuwasaidia;

1. Samia Suluhu Hassan - Msukuma
2. Abdullrahman Kinana - Msukuma
3. Hussein Ally Mwinyi -Msukuma
4. Shaka H Shaka-Msukuma
5. Moudline Castico - Msukuma
6. Frank Hawasi - Msukuma
7. Kassim Majaliwa - Msukuma
8. Ngemela Lubinga - Msukuma
9. Pereira Silima - Msukuma
10. Rehema Mndeme - Msukuma
11. Steven Wasira - Msukuma
12. Tulia Ackson - Msukuma
13.................Endeleeni

Kumbuka CC ya CCM ina wajumbe wasiozidi 33 na hapo juu tayari tuna zaidi ya 70%
 
Safi sana,nimegundua hili jukwaa wengi wao ni wafuata mkumbo,hawajielewi,kifupi ni mbwa koko
 
Back
Top Bottom