Siasa za Uchumi wa wananchi katika nyimbo za Nigeria na falsafa ya "Nchi iliyopata MAENDELEO fedha haina samani"

Siasa za Uchumi wa wananchi katika nyimbo za Nigeria na falsafa ya "Nchi iliyopata MAENDELEO fedha haina samani"

Something Inside

Senior Member
Joined
Nov 15, 2019
Posts
165
Reaction score
30
Afrika ni nchi kubwa ambayo kwa uhalisia wake inawatu wanaotumiana sana kwa sababu ya housing "Afrika" lakini ni wagumu kuingiza siasa ya kuboresha maisha kwa sababu ya AIBU (hapa ndipo Pana Go and return ticket"

Hebu check wimbo huu unaweza sema alikuwa namwimbia mwanamke lakini kiuhalisia fedha Ndiyo kila kitu na kila MTU atahitaji fedha kuishi katika mfumo wowote na kinachokosekana Afrika ni assurance ya kupata FEDHA ili tuweze KUPLAN kila siku.. buruduka yawezekana wengine itakuwa fursa ya kuendelea na MAISHA ya fedha za kila siku, mwezi na mwaka

 
Mbona hueleweki kwa public au kwako public hawapo?
 
Back
Top Bottom