johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hilo ndiyo furaha yako na wao,ila kumbuka tu wenyewe hawana maslahi yeyote wayapatayo zaidi ya hasara na mateso,kwa kutumwa na uzalendo wakweli,ile akina nyie maslahi binafsi mbele.Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.
Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Watakuja na matusi hawana hoja, wamekosa ubunge wamebakiza kashfa.Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.
Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.
Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Sisi wananchi tunasubiri rafiki zetu wazungu watakapowafurusha MATAGA kutoka madarakani.Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.
Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Hili igizo mulilifanya kishamba saanaa. Halafu mkachomo wenyewee, toka lini ukamate nyaraka muhimu kama hizi halafu uchomee?? Acheniiii utapeliii. Malengo mlipanga mtie doa uchaguziii halafu mukakosea mbinu, hovyokwelikweliiiJe siasa za Chama Kikongwe ni kupiga kura kabla ya siku ya uchaguzi? Yani mtu anakuja kupiga kura na anazo kura kwenye mabegi!View attachment 1641995
Kwahiyo kama CDM walifanya igizo la kura chama cha mezani mlifanya igizo gani wakati nyie ndio mlificha aliyepewa tender ya kuprint hizo karatasi?Hili igizo mulilifanya kishamba saanaa. Halafu mkachomo wenyewee, toka lini ukamate nyaraka muhimu kama hizi halafu uchomee?? Acheniiii utapeliii. Malengo mlipanga mtie doa uchaguziii halafu mukakosea mbinu, hovyokwelikweliii
hii yote umekuja baada ya mbowe cha pombe kukosa ubunge. Amejaribu kuwa viti maalum lakni jinsia inamhukum😂😂😂Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.
Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Unazungumza kutoka jalala lipi leo. Umetoroka Mirembe, nakushauri bure kamalizie dozi na ukavae kichwa chako halisi. Usitutembelee mtaani na kifuu cha naziSiasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.
Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema inaenda kuwa kama TLP!Kama unadhani Mbowe ataadhirika kisa siyo mbunge unajidanganya. CHADEMA ina wanachama wenye ajira rasmi na zisizo rasmi, lini wameomba mchele CCM? Mmefanya wizi wa kitoto sasa aibu inawaandama mmebaki kuwayawaya kila siku.
Kwa ilipofikia Chadema ni bora isambaratike. Haiwezekani viongozi wao wanazurura duniani kuitakia mabaya nchi na watu wake.Kwanini unaweza mawazo ya kishetani hivyo. Ikisambaratika utaongeza utajir?
Halima siyo wa kumuamini sana!Je siasa za Chama Kikongwe ni kupiga kura kabla ya siku ya uchaguzi? Yani mtu anakuja kupiga kura na anazo kura kwenye mabegi!View attachment 1641995
Nimekuelewa bwashee!Kwa ilipofikia Chadema ni bora isambaratike. Haiwezekani viongozi wao wanazurura duniani kuitakia mabaya nchi na watu wake.
Turudi tu kwenye uhalisia, TUNDU alishinda urais akaibiwa kura?
Ushahidi wa kuibiwa kura uko wapi? Mbona hata hawajaupeleka kwa nchi wahisani ukawekwa wazi.
Je, ni kweli Msigwa, Lema, Nyarandu, Mbowe, Sugu, Hawa Ghasia, na yule alieshindwa na Aida Kenani waliibiwa kura zao?
Ukiona chama kimeacha kusimamia misingi ya demokrasia na kuanza kutengeneza drama za kujenga chuki katika jamii hicho hakifai bora kife