Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Status
Not open for further replies.
Ni yale yale, maana yake ni kuongeza gharama kwa mtu wa Rwanda kupata bidhaa kutokea bahari ya Hindi. Afrika tuna matatizo makubwa sana ya kuongozwa na watu wajinga. Sikutegema kuwa Kagame naye ni mjinga wa namna hii kwa vile nilikuwa namshabikia sana kwa kusimamia accountability ya serikali yake. Lakjni kweli kama Nyani Ngabu asemavyo miafrika ndivyo ilivyo.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani huyu mbwa Kagame ana washauri wajinga kama yeye. Rwanda population yake haizidi populationa ya mkoa wa Morogoro. Kama kuumia wataumia wao na sio Tanzania. Halafu distance ya kutoka Mombasa mpaka Rwanda ni mara mbili ya distance kutoka DSM mpaka Rwanda. Let them suffer. BRAVO MR JK. ALUTA CONTINUOE
 

Baby sitted ,spoon fed for far too long ,jumuiya imeshatuchoka. Tanzania must learn choices have consequences.
 
Naona wakati umefika wa kuacha kufanya biashara na Rwanda tuhamishie biashara zetu kwengineko, yeyote mwenye akili timamu hawezi kuchanganya politics and biashara, ndio maana hata Wachina na wamarekani hawapikiki chungu kimoja kisiasa, tena ni mahasimu wakubwa lakini inapokuja kwenye biashara wao ndio patners wakuu...
Watanzania tukae chini tuweke mikakati ya kuendelea na maisha yetu without Rwanda, kubembeleza sana tunaonekana kama mazuzu.
 
Huyu Kagame anatutafuta sana, mara apandishe ushuru mara vile, sasa dawa yake inachemka
 
Yes safi sana kagame zuia kabisa haya malori
 
Haya ndo madhara ya kuwa na rais anayeanzisha nabifu ya kitoto..sasa tutakoma...hawatutaki kwa ajili ya akili finyu za kiongozi wetu...kagame safi sana
 

Sisi ni mapimbi na mazuzu toka muda tu
 
Acheni uoga wakitoto who is Rwanda by the way msiwe na akili finyu hivi masoko mengine hakuna waacheni wapumbafu Rwanda tuone nani ataathirika nendeni Nchi za SADC mkauze biashara zenu.
 

sishangai kwani maji ukiyavulia nguo , ni sharti uyaoge.
 
Teh teh teh , naisi kuna mkono wa mataifa ya kibepari kwenye hii filamu

since then,tangu lini shirikisho likasaidiwa na shirikisho??,EAC inasaidiwa sana na EU
AU inajengewa majengo na Mchina
 

urusi na US pamoja na mabifu yao ya miongo,ila kwenye biashara wanapiga as usual
 
Nimeipenda hii mkuu.

 

sasa kama wapo wachache hivyo kuna haja ya kuhangaika nao hawa???
 
Kagame --------, hatua hii aliyo ifanya ni ya kipuuzi tutegemee maisha magumu kwa wanyarwanda kwa bei ya bidhaa kupaa mara dufu.
 

Better still ,Rwanda iongeze mizani angalau 20 mpakani hadi Kigali exclusive kupima magari ya Tanzania tu. May be we d learn the hard way of need to co operate
 
nikikuuliza rais wa tz amefanya kosa gani? acha kuongea usichokijua,usipende kuuza utu wako kwasababu ya kumridhisha mwenzako. tz imetoa ushauri kwa rwanda imekua mwiba kwake,despite of our poverty,hatukuwahi kufail katika mambo yetu.
 
Ndo mtaisoma,waambieni viongozi wenu waiza madawa ya kulevya wawalipie
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…