Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Ni yale yale, maana yake ni kuongeza gharama kwa mtu wa Rwanda kupata bidhaa kutokea bahari ya Hindi. Afrika tuna matatizo makubwa sana ya kuongozwa na watu wajinga. Sikutegema kuwa Kagame naye ni mjinga wa namna hii kwa vile nilikuwa namshabikia sana kwa kusimamia accountability ya serikali yake. Lakjni kweli kama Nyani Ngabu asemavyo miafrika ndivyo ilivyo.Wanaipalilia Bandari ya Mombasa Unajua haya mambo unaweza kuyaangalia kwa jicho moja ukaona ni Kagame ndio anafanya yote haya ila mie nimekua na maono tofauti na haya Kuna bingwa wa Fitna anaitwa Uhuru huyu ndio anachochea hii kitu kubalini kataeni Rwanda ni landlocked haiwezi kufanya hayo kama hana sapoti na Uhuru ni mfanyabiashara na Wakikuyu hakuna wanachodhamini kama pesa! Tanzania tujitoe East Africa tujipange kufanya yetu.
Last edited by a moderator: