ricardo roche
Member
- Oct 13, 2009
- 16
- 0
Calle a spade spade,pandisha ushuru wa Rwandair wanaolipa sasa hivi walipe mara tano zaidi kila wakitua.na ushuru upande kwa Rwandair tu si nyingineNatamani PK aipige marufuku Rwanda air kutua TZ ili azidi kuiwekea vikwazo nchi yetu..!
mambo yatakuwa mazuri zaidi ile njia ya tanga itakapo kaa vizuri kiasi kuwa watakuwa n uwezo wa kutumia bandari ya tanga kikamilifuNAKUBALIANA NA WEWE MKUU. NASIKIA PIA WAFANYABIASHARA WAPO TAYARI KULIPA HIYO DOLA 500 WATUMIE BANDARI YA dAR kuliko kutumia bandari ya Mombasa
Ha ha haa, siku tukiyumba kiuchumi kutoka na vikwazo vya Rwanda mimi nakunywa sumu live..! Yaani ni sawa na Singida iiwekee vikwazo DarCalle a spade spade,pandisha ushuru wa Rwandair wanaolipa sasa hivi walipe mara tano zaidi kila wakitua.na ushuru upande kwa Rwandair tu si nyingine
Afadhali wambie Kamanda, unajua Watanzania ni kama tumelogwa. Tunashabikia mambo bila kufikiria, watakao umia ni haohao wanaomiliki biashara za malori. Na hii maana ya haraka haraka ni kuanza ku discourage mizigokushushiwa Dar sasa watalazimika kwenda Bandari ya Mombasa.
Mambo mengine adghabu zake ni hapa hapa tu hakuna kungojea,
TAFAKARI
Mzigo hata ukishuswa mombasa, hauwezi fika Rwanda bila kupitia barabara za Tz. Hata ss tunaweza mwekea ushuru mkubwa vilevile.
Mzigo hata ukishuswa mombasa, hauwezi fika Rwanda bila kupitia barabara za Tz. Hata ss tunaweza mwekea ushuru mkubwa vilevile.
Rwanda bila Tanzania ni hasara kwenda mbele. Ni sawa na kicheche ambaye humzimii akikuonyesha mabwana zake ....
Waacheni wapuuzi hao, mkiwaendekeza mtapoteza muda.
Mzigo hata ukishuswa mombasa, hauwezi fika Rwanda bila kupitia barabara za Tz. Hata ss tunaweza mwekea ushuru mkubwa vilevile.
Calle a spade spade,pandisha ushuru wa Rwandair wanaolipa sasa hivi walipe mara tano zaidi kila wakitua.na ushuru upande kwa Rwandair tu si nyingine
Mzigo hata ukishuswa mombasa, hauwezi fika Rwanda bila kupitia barabara za Tz. Hata ss tunaweza mwekea ushuru mkubwa vilevile.