Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Status
Not open for further replies.
Duh. Kweli hasira huleta hasara. Kagame akajifunze busara kufikiria kwa kina na kufanya maamuzi mazuri
 
Kuwa jirani na nchi inayoongozwa na REBEL ni matatio makubwa. Mtoto anatafuta attention kwa wazazi tumwache kwani huyu amezoea kufikiri mambo ya porini na ndo maana haoni mbali
 
Naisi huu ni mkakati wa triple k kagame anatumika anataka wananchi wake watumie bandari ya mombasa ila bado anawaumiza wananchi wake bidhaa zitapanda maradufu na bei ya bidhaa ikipanda ni vigumu kushuka
 
Ingia ubia na mfanyabiashara mmoja wa Rwanda, peleka mzigo hadi mpakani, pakua mzigo kutoka gari iliyosajiliwa Tanzania, pakia kwenye gari iliyosajiliwa Rwanda (au Uganda, Kenya, etc). Peleka mzigo Kigali, maisha yanaendelea
 
Katika uchumi hili swala lina effect pande zote isipokuwa rwanda ataumia zaidi.haya ni maamuzi ya hasira.kwanza mfanya biashara hapo hapati hasara atakachokifanya ni kuongeza bei ya bidhaa.lakini pia kwetu watz tunaweza tusiwenapata routes za rwanda hicho mizigo ikawa napitia mombasa kwaiyo hapo kenya ndo atakaye win zaidi.kwetu pia tuna altenatives za routes kama zambia,malawi tunachotakiwa hapo ni kuboresha huduma yetu hasa upande wa forodha ili kuteka masoko yaliyobaki.japo sidhani kama rwanda wamelifanyia tafiti kiasi gani kuona ana sacrifise nn ili kupata nn na gharama halisi kwa mombasa na boada hiyo hasa ni mizigo gani inapita kama ni tanzania produced products au overseas products maana nachofahamu mm ktk international trade huwa kuna win win situation na huko anakoingia ataambulia loos win business.na atambue yy ana outlets na inlets za kutosha kibiashara
 
Natamani PK aipige marufuku Rwanda air kutua TZ ili azidi kuiwekea vikwazo nchi yetu..!
Calle a spade spade,pandisha ushuru wa Rwandair wanaolipa sasa hivi walipe mara tano zaidi kila wakitua.na ushuru upande kwa Rwandair tu si nyingine
 
NAKUBALIANA NA WEWE MKUU. NASIKIA PIA WAFANYABIASHARA WAPO TAYARI KULIPA HIYO DOLA 500 WATUMIE BANDARI YA dAR kuliko kutumia bandari ya Mombasa
mambo yatakuwa mazuri zaidi ile njia ya tanga itakapo kaa vizuri kiasi kuwa watakuwa n uwezo wa kutumia bandari ya tanga kikamilifu
 
Calle a spade spade,pandisha ushuru wa Rwandair wanaolipa sasa hivi walipe mara tano zaidi kila wakitua.na ushuru upande kwa Rwandair tu si nyingine
Ha ha haa, siku tukiyumba kiuchumi kutoka na vikwazo vya Rwanda mimi nakunywa sumu live..! Yaani ni sawa na Singida iiwekee vikwazo Dar
 
Afadhali wambie Kamanda, unajua Watanzania ni kama tumelogwa. Tunashabikia mambo bila kufikiria, watakao umia ni haohao wanaomiliki biashara za malori. Na hii maana ya haraka haraka ni kuanza ku discourage mizigokushushiwa Dar sasa watalazimika kwenda Bandari ya Mombasa.

Mambo mengine adghabu zake ni hapa hapa tu hakuna kungojea,

TAFAKARI

Mzigo hata ukishuswa mombasa, hauwezi fika Rwanda bila kupitia barabara za Tz. Hata ss tunaweza mwekea ushuru mkubwa vilevile.
 
Mzigo hata ukishuswa mombasa, hauwezi fika Rwanda bila kupitia barabara za Tz. Hata ss tunaweza mwekea ushuru mkubwa vilevile.

mzee angalia ramani ya east africa vizuri,sure unaweza kutoka mombasa kwenda kigali bila kugusa tz!!!l ila kwa ujumla tanzania tusitegemee rwanda kama partner tena siyo kiuchumi,kisiasa,kiutamaduni,kiusalama,kijeshi etc tuihesabu rwanda kama nchi ya mbali ambayo mahusiano ni madogo sana kama vile togo,gambia,sao tome etc!!!!
 
Ni baada ya kupandishiwa kodi ghafla ya kuingia nchini humo kutola dola 152. Mpk dola 500 hayo yalisemwa na mwenyekiti wa wamiliki wa malori tz na kuiomba serilali iingilie kati.

Source: East Africa Radio
 
Mod naomba unisaidie kurekebisha title hapo ni 'malori ya tz yakwama rwanda'
Cc. Invisible
 
Last edited by a moderator:
Rwanda bila Tanzania ni hasara kwenda mbele. Ni sawa na kicheche ambaye humzimii akikuonyesha mabwana zake ....
Waacheni wapuuzi hao, mkiwaendekeza mtapoteza muda.

Kobello mi nawaza ingekuaje ikiwa Rwanda ndo wangekua na bahari????
 
Last edited by a moderator:
ni hanari mpya imetokea leo... malori yote yanayosafirisha bidhaa kutoka tanzania katika ardhi ya rwanda yanatakiwa kulipa dola 500 effective from today kutoka kwenye rate ya zamani ya dola 150... kadhia hii inahusu malorry ya tanzania tu wakati ya uganda na kenya yataendelea kulipa rate ya zamani... kuna msururu wa malori ya tanzania yamekwama kwani walienda wakijua watalipa iyo dola 150 only to find a new rate EXCLUSIVE for tanzanian only!!!!
 
Mzigo hata ukishuswa mombasa, hauwezi fika Rwanda bila kupitia barabara za Tz. Hata ss tunaweza mwekea ushuru mkubwa vilevile.

Ngoja tuone nani starting wa picha hii, dola 500 kwa kila truck siyo mchezo 500x300=150,000 dollars per day, jamaa atatengeneza mshiko. Na ninavyojua huyu slim boy ataweka marufuku ya kupandisha bei ya mafuta ndani ya Rwanda.
M7 naye katangaza ngawo mkali Mkoani kagera kwa kipindi cha wiki 40, eti wanarekebisha njia za umeme.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom