majata
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 431
- 180
Rwanda iiwekee vikwazo Tanzania??? Ni sawa na syria kuiwekea vikwazo marekani.
teh teh, system still loading.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rwanda iiwekee vikwazo Tanzania??? Ni sawa na syria kuiwekea vikwazo marekani.
Kwani wenye magari watakuwa wapumbavu kiasi hiko na wao ongezeko la gharama si wanawatupia wenye mizigo, hawataki mizigo inadoda bandarini na gharama za kuifadhi juu; mpaka inabaki kuwa mali ya serikali ya Tanzania.Kwa hili haongezi gharama kwa watu wake ila faida kwa mwenye gari inapungua au inaondoka kabisa. Lengo lake ni kulazimisha waagizaji mizigo watumie bandari ya Mombasa badala ya Dar es Salaam. Watapata msukosuko kwa muda tu then wakianza kupitia Mombasa mambo yatatulia.
Ina maana gani kwetu? Tuboreshe reli ya kati. Hao wenye malori ndio walikuwa wanahujumu reli ya kati isifanye kazi au isiboreshwe. Tena wengi wao ni wakubwa haohao.
warwanda wajinga hapa umeongea nini sasa kwani biashara lazima tufanye na rwanda hata sisi tunajua tutakaza wapi.kikwete alivyokua anaongea dharau mlichekelea.
mnazani vita ni kushikiana mtutu pekee???
warwanda wajinga hapa umeongea nini sasa kwani biashara lazima tufanye na rwanda hata sisi tunajua tutakaza wapi.
Kikubwa msije kulia baadaye.
This is "news" to me! Kumbe haya malalamiko yetu hayana msingi wowote kata hali ni hii unayoisema!Taarifa yako haijakamilika. Haujasema kuwa magari ya rwanda yanayoingia tanzania yamekuwa yakitozwa hiyo dola 500 for many years. Wamejaribu ku plead serikali yenu ipunguze ili hiyo gharama iendane na za nchi nyingine wanachama wa East Africa. Tanzania walikuwa wanajishebedua.
This is "news" to me! Kumbe haya malalamiko yetu hayana msingi wowote kata hali ni hii unayoisema!
watakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! Hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!
umenena vyema! Watakaoumia na wanyarwanda!
Sent from my blackberry 9780 using jamiiforums
tatizo we mwehu kwa tarifa yenu tulishafika mwisho wewe na warwanda wenzako tumewachoka mlizoea kufanya uharifu kagera na kwingineko tumewatimua kwendeni.watz wenye akili timamu wamekiri kuwa kikwete analiponza taifa.
Wana Jamiii
Nipo hapa Rusumo mpakani mwa Tanzania na Rwanda.....siamini ninachokiona machoni mwangu....kuanzia jana tarehe 1/09/2013 serekali ya Rwanda imeongeza ushuru wa barabara ( ROAD TOLL) kwa magari yote ya Mizigo ( Fuel and Dry Cargo) yenye plate numbers za Tanzania kutoka USD 152 mpaka USD 500 kwa kila gari.
Kwa taarifa ambazo sio rasmi kwa siku magari ya mizigo takribani 300 yanavuka hapa mpakani, na zaidi ya asilimia 95% ya magari hayo zina plate numbers za Tanzania.
Wanajamii hii ina madhara gani kwa uchumi wa Tanzania kwani akili ya harakaharaka hii ni some sort of Protectionism ila kwa mbali inaweza ikawa ni muendelezo wa chokochoko.
mkuu liwalo na liwe tujipange kivyetu na sadcc yetu kuwa rafiki na viinchi vya kisilani na ukabila ni poteza mda tu.wakuu lengo la rwanda hapo ni kuwa lazimisha wafanyabiashara wao wapitie mombasa, na kama hii ikishindwa tutegemee vikwazo zaidi, vita ni vita iwe ya maneno, matendo au uchumi
Mkuu, mkiona Kagame anapiga kelele ni amejaribu sana kuwa accomodating ila kuna mahali inafika mtu unashindwa kuvumilia. Tanzania inabidi mjirekebishe katika karne hii ya utandawazi na ushindani.
Mkuu, nakushukuru sana hapo kwenye RED. Nimepiga sana kelele kuhusu hilo hata kabla ya ugomvi kati ya JK na PK. labda hii itakuwa " a blessing in disguise" Hao wakubwa ndio wenye malori hayo jamani. Kuna wakati bwana mkubwa aliingiza malori 50 na hakulipa ushuru. Mbona yatafumuka mengi.
Watakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa Rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!
au ndio keshawajua huku wengi tukiwa tumelala bado?Kwa hili haongezi gharama kwa watu wake ila faida kwa mwenye gari inapungua au inaondoka kabisa. Lengo lake ni kulazimisha waagizaji mizigo watumie bandari ya Mombasa badala ya Dar es Salaam. Watapata msukosuko kwa muda tu then wakianza kupitia Mombasa mambo yatatulia.
Ina maana gani kwetu? Tuboreshe reli ya kati. Hao wenye malori ndio walikuwa wanahujumu reli ya kati isifanye kazi au isiboreshwe. Tena wengi wao ni wakubwa haohao.
Mbona zipo option nyingi. Malori yanaweza kushushia mzigo hapo mpakani wakachukua kwa lori za Rwanda bila kulipia extra road toll.
All in all gharama za biashara zinaongezeka kwa wanyarwanda zaidi kuliko kwa watanzania.