Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea historiagani kobelo au do hizi hadith za kubumba?
Kenyata hakuelewana na Nyerere nataka uniambie kama ulisikia mwl kuwafukuza wakenya
Kamuzu banda wa malawi pia hakuelewana na mwalimu uniambie kama mwl aliwafukuza wanyasa
hiyo nii mifano miwili tu, nataka ulieleze jukwaa kwa mifano japo miwili ni lini na majiranigani mwalimu aliwafukuza.
Well said mkuu, mbona Rwanda wanasema magari yao ya mizigo yalikuwa yanatozwa ushuru wa dola 500 kwa muda mrefu tu, walijaribu kulalamika kwa wahusika Tanzania kwa muda mrefu bila mafanikio! PK tunamlahumu mambo mengi lakini kwa hili naona hatumtendei haki.Wakuu,Tungejua Lengo la Rwanda Kufanya Hivyo ni nini...1. Je, ni Kujiongezea Mfumuko wa Bei wao wenyewe ???2. Je, ni Mwanzo tu wa Rwanda kukata Mahusiano yote na Tanzania ??3. Je, Ni kuwakomoa wafanya Biashara Ma Roli wa Kitanzania wenye Mitaji yao Rwanda ??AngalizoKama wa Tanzania hatuna haja ya kuchangia thread hii ki nazi, Hili la kupandisha ushuru wa ma Roli tumeliona, Hatuwezi kujua at the Background Rwanda wanafanya nini au wana Mpango gani, natoa angalizo kwa wa Tanzania wanaoishi Rwanda.Mwisho Kabisa inaonekana wengi wetu hmu ndani tumetishika na uamuzi wa Rwanda, indication ya hili ni kitendo cha Kumshambulia Kagame Personally kwa kupandishwa ushuru wa ma Roli, tunamlaumu Kagame kwa lipi kama sisi kama Tanzania hatutaathirika ni uamuzi huo ?????Kumshambulia Kagame kwa hili ni indication kuwa tunamuogopa huyu Kiumbe.Hutaki unaacha
Yeah, !!! Nchi nyingi zinakitengo kinacho deal na issue hizo za BUSINESS INTELIGENCY ili kusaidia kufanya upembuzi na kulinda wafanyabiashara wa ndani pamoja na benefits za Taifa kwa ujumla. Nahisi hapa kwetu sijui kama kipo ndio maana nikamuuliza rafiki yangu ZeMarcopolo kama hii kitu hapa kwetu ipo au makamanda Ritz na chama or EMT wanaweza saidia ilo swali langu.
jirani mtusi/mhutu ah..hanisaidii kitu, tusihofu kitu hapaIfike mahali hii cold war iishe. Tena tuache kabisa kushabikia haya mambo. Haipendezi kuwa na jirani ambaye hamsalimiani hata kama wewe ni tajiri na una kila kitu.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Ndugu yangu Balali! Unawajua watutsi vizuri? Ngoja tu waondoke. Sio watu wa kuwaamini hata kidogo. Angalia wanachofanya huko mashariki ya Kongo...
Ni mtazamo tu mkuu kila mtu anatathimini anavyoona, lakini ile mikutano yao ya kigali, nairobi na kampala inamalengo yake.
Na hivyo hivyo wanautashi n akili kama sisi nk tunatofautiana katika kudhibiti mapato na utekelezaji wa mipango-mikakati.
pamoja na udogo wa nchi yao mapato yao sidhani kama yanavuja kama ya kwetu na hapo ndipo gharama za uendeshaji zinapoanzia.
Yeah, !!! Nchi nyingi zinakitengo kinacho deal na issue hizo za BUSINESS INTELIGENCY ili kusaidia kufanya upembuzi na kulinda wafanyabiashara wa ndani pamoja na benefits za Taifa kwa ujumla. Nahisi hapa kwetu sijui kama kipo ndio maana nikamuuliza rafiki yangu ZeMarcopolo kama hii kitu hapa kwetu ipo au makamanda Ritz na chama or EMT wanaweza saidia ilo swali langu.
these guys wanajitia kufanya kazi kwa usiri lakini magumash tu,,,,,wameshindwa kukamata ngada eapot,mbwa wakawalaza vingunguti,ndo wataweza ku-deal na uchumi?
Watakaoumia ni Rwandise wenyewe maana kwa tarifa rasmi Kagame aliwaambia kuwa kuanzia mwezi ujao October 2013 wataanza kutumia bandari ya Mombasa, jumuia ya wafanyabiashara ya Rwanda wakasema kuwa hawataki maana kupitia Mombasa ni mbali sana yaani ni karibia kilometa 700 zinaongezeka ukilinganisha na Dar.Sasa kwa kuwa jamaa PK ni mtu wa visasi ameanza eti kwa kuwakomoa kumbe anajikomoa mwenyewe.Wafanyabiashara wanaweza wakalipia hilo ongezeko lakini lazima ajue kuwa bidhaa zote zitakazopitia Tanzania bei itapaa sanaAfadhali wambie Kamanda, unajua Watanzania ni kama tumelogwa. Tunashabikia mambo bila kufikiria, watakao umia ni haohao wanaomiliki biashara za malori. Na hii maana ya haraka haraka ni kuanza ku discourage mizigokushushiwa Dar sasa watalazimika kwenda Bandari ya Mombasa.
Mambo mengine adghabu zake ni hapa hapa tu hakuna kungojea,
TAFAKARI
Watakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa Rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!
ndugu; hivi vikwazo anavyoweka kagame kumbuka tz nako wataangalia namna ya kuongeza vikwazo dhidi yake na hali hii autamatically itakuwa na effect zaidi upande wa rwanda kwasababu kuna bidhaa zingine hazitapelekwa kabisa; wakati huohuo namba ya watu imeongezeka ndani ya rwanda, hapo yani kuna kazi kwelikweli!
ndugu yangu kagame ana akili sana maana analazimisha wafanyabiashara wa rwanda kutumia magari toka kenya
Pole kwao Wanyarwanda, pole kwa wafanyabiashara wa malori.Hivi JK hajatoa tu khotuba yake ya mwezi kwa taifa kama ilivyo ada? Iwapo bado, nahakika ataliongelea na hili la mahusiano na Rwanda.