Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

Status
Not open for further replies.
Nimesoma magazeti ya Rwanda jana na leo. Wanasema Tanzania they are losers in this conflict,will be isolated EAC.
 
Wakuu,
Tungejua Lengo la Rwanda Kufanya Hivyo ni nini...
1. Je, ni Kujiongezea Mfumuko wa Bei wao wenyewe ???
2. Je, ni Mwanzo tu wa Rwanda kukata Mahusiano yote na Tanzania ??
3. Je, Ni kuwakomoa wafanya Biashara Ma Roli wa Kitanzania wenye Mitaji yao Rwanda ??


Angalizo
Kama wa Tanzania hatuna haja ya kuchangia thread hii ki nazi, Hili la kupandisha ushuru wa ma Roli tumeliona, Hatuwezi kujua at the Background Rwanda wanafanya nini au wana Mpango gani, natoa angalizo kwa wa Tanzania wanaoishi Rwanda.
Mwisho Kabisa inaonekana wengi wetu hmu ndani tumetishika na uamuzi wa Rwanda, indication ya hili ni kitendo cha Kumshambulia Kagame Personally kwa kupandishwa ushuru wa ma Roli, tunamlaumu Kagame kwa lipi kama sisi kama Tanzania hatutaathirika ni uamuzi huo ?????
Kumshambulia Kagame kwa hili ni indication kuwa tunamuogopa huyu Kiumbe.
Hutaki unaacha
 
Pamoja na yote, nimejiuliza sana; jinsi tulivyo wasanii wabongo tumeshindwa kutafuta mbinu za kufanya malori yetu yakawa na uraia wa nchi zaidi ya moja? Hii biashara ya plate number za TZ isingekuwepo tunapofika mipakani. Hapana bwana, wataalamu wa kuchakachua, hebu ingieni kazini!! hamuwezi kushindwa hili kwani makubwa zaidi mmeweza.
 
Kuna kijitabu kinaandaliwa na kitakuw sokoni muda si mrefu kinaitwa !THE RISE N FALL OF PAUL KAGAME THE DICTATOR",
 
Kule ikulu kuna bwana mdogo anamalori yakutosha, kiasi kwamba watanzania tunaumizwa kwa upole na ushabiki wa bila kujuwa tunajihujumu wenyewe.

Wafanyabiashara wa magogoni wameizeheesha na kuififisha reli ya kati ukitathimini kwa mbali utaona ilitufanye biashara ya kubeba mizigo ya wanyarwanda na waganda kwa bei ya juu nakutengeneza faida nzuri.

Na hapa ilibidi hata sisi tukomae kwanini reli za Tazara na Kati haziboreshwi kwa kiwango bora ilikutupunguzia makali ya maisha yanayotokana na ghrama za usafirishaji kwa kutumia malori badala ya reli? Nani anafaidika na kwanini?


hapa tukiulizana nikwafaida ya nani reli zinauwawa sijuwi kama majibu yatapatikana.

Endapapo wataweza kujenga reli kutoka mombasa hadi rwanda waweza kujimudu badala ya kutegemea malori ya magogoni kuendelea kuwafilisi kila siku.
 
Unaongelea historiagani kobelo au do hizi hadith za kubumba?

Kenyata hakuelewana na Nyerere nataka uniambie kama ulisikia mwl kuwafukuza wakenya

Kamuzu banda wa malawi pia hakuelewana na mwalimu uniambie kama mwl aliwafukuza wanyasa

hiyo nii mifano miwili tu, nataka ulieleze jukwaa kwa mifano japo miwili ni lini na majiranigani mwalimu aliwafukuza.

Ndugu yangu Balali! Unawajua watutsi vizuri? Ngoja tu waondoke. Sio watu wa kuwaamini hata kidogo. Angalia wanachofanya huko mashariki ya Kongo...
 
Wakuu,Tungejua Lengo la Rwanda Kufanya Hivyo ni nini...1. Je, ni Kujiongezea Mfumuko wa Bei wao wenyewe ???2. Je, ni Mwanzo tu wa Rwanda kukata Mahusiano yote na Tanzania ??3. Je, Ni kuwakomoa wafanya Biashara Ma Roli wa Kitanzania wenye Mitaji yao Rwanda ??AngalizoKama wa Tanzania hatuna haja ya kuchangia thread hii ki nazi, Hili la kupandisha ushuru wa ma Roli tumeliona, Hatuwezi kujua at the Background Rwanda wanafanya nini au wana Mpango gani, natoa angalizo kwa wa Tanzania wanaoishi Rwanda.Mwisho Kabisa inaonekana wengi wetu hmu ndani tumetishika na uamuzi wa Rwanda, indication ya hili ni kitendo cha Kumshambulia Kagame Personally kwa kupandishwa ushuru wa ma Roli, tunamlaumu Kagame kwa lipi kama sisi kama Tanzania hatutaathirika ni uamuzi huo ?????Kumshambulia Kagame kwa hili ni indication kuwa tunamuogopa huyu Kiumbe.Hutaki unaacha
Well said mkuu, mbona Rwanda wanasema magari yao ya mizigo yalikuwa yanatozwa ushuru wa dola 500 kwa muda mrefu tu, walijaribu kulalamika kwa wahusika Tanzania kwa muda mrefu bila mafanikio! PK tunamlahumu mambo mengi lakini kwa hili naona hatumtendei haki.
 
Tarifa kutoka kwa mdogo wangu aliye mpaka wa Rwanda na Tanzania wameshindwa kuvuka baada ya ushuru wa kuvusha gari kupanda ghafla kutoka dola 150 hadi 500 kwa Lori.
 
Jamani mfa maji haachi kutapatapa.Kagame anajichimbia kaburi la kujizika yeye mwenyewe.Na sidhani endapo wananchi wake watakubaliana na kupanda kwa maisha nchini mwake.
 
Yeah, !!! Nchi nyingi zinakitengo kinacho deal na issue hizo za BUSINESS INTELIGENCY ili kusaidia kufanya upembuzi na kulinda wafanyabiashara wa ndani pamoja na benefits za Taifa kwa ujumla. Nahisi hapa kwetu sijui kama kipo ndio maana nikamuuliza rafiki yangu ZeMarcopolo kama hii kitu hapa kwetu ipo au makamanda Ritz na chama or EMT wanaweza saidia ilo swali langu.

Mkuu,

Mambo ya usalama wa taifa mimi sina ujuzi nayo kabisa. Hayo ni mambo yanayofanyika kwa siri kubwa, wanaoyafahamu vizuri ni wale ambao shughuli zao zina uhusiano na idara hiyo.
 
Ifike mahali hii cold war iishe. Tena tuache kabisa kushabikia haya mambo. Haipendezi kuwa na jirani ambaye hamsalimiani hata kama wewe ni tajiri na una kila kitu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
jirani mtusi/mhutu ah..hanisaidii kitu, tusihofu kitu hapa
kwani hata huyu wa visiwani naishinae basi tu., amebeba tindikali. hapa hakuna vita wala nini. Rwanda wameamua kurududisha misimamo tu ambacho ni kitu cha kawaida kati ya nchi na nchi. hata kodi za ulaya ni kubwa pia. mwanzoni walilegeza kwa lengo la kuimarisha ushirikiano lakini kwasasa wametuchukulia kama nchi isiyowashirika tena, hivyo wanakata kodi halali. tuna twiga wanaenda uarabuni, gesi, madini hatuyaoni, mafisadi hawafungwi, wanaolalamika wanavunjwa meno, udini, umasikini, elimu mbovu, kero za muungano, katiba, uchumi mbov... i got 99 problem.., and Rwanda is not a One.
 
Ndugu yangu Balali! Unawajua watutsi vizuri? Ngoja tu waondoke. Sio watu wa kuwaamini hata kidogo. Angalia wanachofanya huko mashariki ya Kongo...


ndugu yangu wala sioni sababu kukubishia maoni yako, kila shetani na mbuyu wake

Utawala wa JK nyerere walikuwepo approx 25yrs

Utawala wa mzee A. H Mwinyi walikuwepo-10 yrs

Utawala wa Mzee wa uwazi na ukweli bwana mkapa walikuwepo-10yrs

zaidi ya miaka arobaini na tano (45yrs) ni mangapi wamefanya kwa taifa hili na wangapi tumezaliwa tukawakuta hawa ndugu?

Cha jabu utawala wa mh kikwete mambo si mambo, jirani zetu takribani wote mfadhaiko, hata sisi wenyewe watanzania humu ndani mambo yamebadilika tunaishi kwa mashaka, mabomu, tindikali, kuchinjana, kutesena nk

Tujiulize katika utawala huu nini kimetokea?
 
Ni mtazamo tu mkuu kila mtu anatathimini anavyoona, lakini ile mikutano yao ya kigali, nairobi na kampala inamalengo yake.

Na hivyo hivyo wanautashi n akili kama sisi nk tunatofautiana katika kudhibiti mapato na utekelezaji wa mipango-mikakati.

pamoja na udogo wa nchi yao mapato yao sidhani kama yanavuja kama ya kwetu na hapo ndipo gharama za uendeshaji zinapoanzia.

ndugu; hivi vikwazo anavyoweka kagame kumbuka tz nako wataangalia namna ya kuongeza vikwazo dhidi yake na hali hii autamatically itakuwa na effect zaidi upande wa rwanda kwasababu kuna bidhaa zingine hazitapelekwa kabisa; wakati huohuo namba ya watu imeongezeka ndani ya rwanda, hapo yani kuna kazi kwelikweli!
 
Yeah, !!! Nchi nyingi zinakitengo kinacho deal na issue hizo za BUSINESS INTELIGENCY ili kusaidia kufanya upembuzi na kulinda wafanyabiashara wa ndani pamoja na benefits za Taifa kwa ujumla. Nahisi hapa kwetu sijui kama kipo ndio maana nikamuuliza rafiki yangu ZeMarcopolo kama hii kitu hapa kwetu ipo au makamanda Ritz na chama or EMT wanaweza saidia ilo swali langu.

these guys wanajitia kufanya kazi kwa usiri lakini magumash tu,,,,,wameshindwa kukamata ngada eapot,mbwa wakawalaza vingunguti,ndo wataweza ku-deal na uchumi?
 
Last edited by a moderator:
Afadhali wambie Kamanda, unajua Watanzania ni kama tumelogwa. Tunashabikia mambo bila kufikiria, watakao umia ni haohao wanaomiliki biashara za malori. Na hii maana ya haraka haraka ni kuanza ku discourage mizigokushushiwa Dar sasa watalazimika kwenda Bandari ya Mombasa.

Mambo mengine adghabu zake ni hapa hapa tu hakuna kungojea,

TAFAKARI
Watakaoumia ni Rwandise wenyewe maana kwa tarifa rasmi Kagame aliwaambia kuwa kuanzia mwezi ujao October 2013 wataanza kutumia bandari ya Mombasa, jumuia ya wafanyabiashara ya Rwanda wakasema kuwa hawataki maana kupitia Mombasa ni mbali sana yaani ni karibia kilometa 700 zinaongezeka ukilinganisha na Dar.Sasa kwa kuwa jamaa PK ni mtu wa visasi ameanza eti kwa kuwakomoa kumbe anajikomoa mwenyewe.Wafanyabiashara wanaweza wakalipia hilo ongezeko lakini lazima ajue kuwa bidhaa zote zitakazopitia Tanzania bei itapaa sana
 
Watakaoumia ni wanyarwanda wenyewe,kwani ninachojua hakuna mfanyabiashara anayepata hasara hata siku moja! hivyo kama bidhaa kama zinapelekwa Rwanda bei ya bidhaa zitapanda tu!

ndugu yangu kagame ana akili sana maana analazimisha wafanyabiashara wa rwanda kutumia magari toka kenya
 
ndugu; hivi vikwazo anavyoweka kagame kumbuka tz nako wataangalia namna ya kuongeza vikwazo dhidi yake na hali hii autamatically itakuwa na effect zaidi upande wa rwanda kwasababu kuna bidhaa zingine hazitapelekwa kabisa; wakati huohuo namba ya watu imeongezeka ndani ya rwanda, hapo yani kuna kazi kwelikweli!

Ndugu yangu kingdom1

Akili hufanya kazi maradufu inapotokea mlango mmoja umefungwa, sikuzote mwanadam hushindwa kufanya maajabu kwa kubweteka.

Mimi naiona hatari mbele yao kama unavyoiona wewe, lakini siku zote kichwa cha mwanadamu kinauwezo usiopimika wala kukadirika. Yanafanyika na tunayaona.

Strategically hawa wanaweza kupotezea muda wa mh kikwete upite wakajaanzisha uhusiano mpya na rais mpya kwa kasi ya ajabu na bado maisha yao yakaenda lakini wakajenga bifu la kimoyomoyo na kikwete maisha yao yote sio watanzania wote.
 
ndugu yangu kagame ana akili sana maana analazimisha wafanyabiashara wa rwanda kutumia magari toka kenya

Hamna lolote, ukiaangalia utofauti wa umbali na ukajumlisha mafuta yatakayotumika unakuta bado ni heri ulipe hiyo dola 500, kuliko kupita kenya. Unless wamalize reli yao .
 
Pole kwao Wanyarwanda, pole kwa wafanyabiashara wa malori.Hivi JK hajatoa tu khotuba yake ya mwezi kwa taifa kama ilivyo ada? Iwapo bado, nahakika ataliongelea na hili la mahusiano na Rwanda.
 
Pole kwao Wanyarwanda, pole kwa wafanyabiashara wa malori.Hivi JK hajatoa tu khotuba yake ya mwezi kwa taifa kama ilivyo ada? Iwapo bado, nahakika ataliongelea na hili la mahusiano na Rwanda.

Aliweza kutumia kipindi kizima kupiga mkwara Kagame, jamaa naye anajitutumua kulinana na karwanda kake, Je mh kikwete atashuka tena mashairi kwa kipindi kizima kigali au madawa ya kulevya? Tusubili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom