Zanzibar 2020 Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

Zanzibar 2020 Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

Wanabodi,
Siasa za Zanzibar, natoa hongera kwa Dr. Hussein Mwinyi, kwa ushindi wa kishindo, cha kihistoria, haijapata kutokea toka Zanzibar izaliwe, ushindi wa zaidi ya asilimia 50%, siku zote uchaguzi wa Zanzibar matokeo huwa ni close range, lakini safari hii, ushindi wa 76% ni landslide ya funga kazi, na funga kalomo kwa vitimbakwiri vyenye maneno maneno kuhusu uchaguzi wa Zanzibar.

Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar yenye GNU, Maalim Seif Sharrif Hamad atakuwa Makamo wa I, wa rais, namshauri Maalim akubali uteuzi huo, kwa umri wake aliofikia, kipindi hiki kwake ni final finale, kwa uchaguzi wa 2025, kutahitajika damu changa, nashauri Jussa au Hamid apokee mikoba.

Natoa wito kwa Dr. Mwinyi, amteue, Balozi Amina Salum Ally awe Makamo wa II, ili kutoa sare sare maua na makamo wa huku bara, Mama Samia Suluhu Hassan, tena sare ya Amina Salum Ally na Samia Suluhu Hassan, itakuwa ni sare inayoendana hadi macho!.

Nakuwekea picha 2, moja macho mawili na nyingine macho manne

Pasco
Rejea ya macho
Hili jamaa siku hizi Jinga sanaa, mpuuzi wa mwisho

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe nakuona kama mtu muovu hapa JF na hata siku nikisikia umepatwa na baya kutoka kwa hao unaowatetea hapa JF, hakika sitokuhurumia wala kukupa pole.

Umekosa utu kwa kiwango cha kutisha na ni mtu hatari sana wewe.
Dini Ukabila majukumu ya familia namuelewa kbs Kaka Pascal.
 
Kwanza utakuwa Ni upumbavu wa hali ya juu Kama wapinzani watarudi Tena kwenye kinyang'anyilo kwa katiba hii.

Bora waache tu wasijihusishe na huu uchaguz ,ccm iendelee kutawala had katiba mpya ipatikane .

Kama wapinzan watarud Tena kwenye uchaguz hao wapinzan Basi ntajiridhisha kuwa na wao Wana njaa Kali pia wapo kwa maslah yao binafsi na sio ya wananchi .

Wakae pembeni kabisa yaan waachane na hizi drama za ccm ,Ni heri wabak wao tu nadhan kwa njia hii katiba mpya itapatikana tu .
 
Back
Top Bottom