Zanzibar 2020 Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

Hili jamaa siku hizi Jinga sanaa, mpuuzi wa mwisho

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe nakuona kama mtu muovu hapa JF na hata siku nikisikia umepatwa na baya kutoka kwa hao unaowatetea hapa JF, hakika sitokuhurumia wala kukupa pole.

Umekosa utu kwa kiwango cha kutisha na ni mtu hatari sana wewe.
Dini Ukabila majukumu ya familia namuelewa kbs Kaka Pascal.
 
Kwanza utakuwa Ni upumbavu wa hali ya juu Kama wapinzani watarudi Tena kwenye kinyang'anyilo kwa katiba hii.

Bora waache tu wasijihusishe na huu uchaguz ,ccm iendelee kutawala had katiba mpya ipatikane .

Kama wapinzan watarud Tena kwenye uchaguz hao wapinzan Basi ntajiridhisha kuwa na wao Wana njaa Kali pia wapo kwa maslah yao binafsi na sio ya wananchi .

Wakae pembeni kabisa yaan waachane na hizi drama za ccm ,Ni heri wabak wao tu nadhan kwa njia hii katiba mpya itapatikana tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…