Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Nilifika Salama kiongozi safari yangu,Kwanza pole na safari. Umekwisha wasili salama?
Baada ya hayo napenda kumtetea Samia , pengine kwa mara ya kwanza na mwisho.
namtetea, kwa sababu sijaona maelekezo toka kwake kwenda kwa hao wapumbavu/vichaa waliofanya jambo la kusikitisha hili.
Ngoja nikukumbushe tena: hayo yanayo fanyika ni ya CCM kama chama kinacho tawala Tanzania. Kinacho nisikitisha toka kwako, ni kumwona Samia kuwa tofauti na CCM. Hili lina nishangaza sana toka kwako, mtu unaye onyesha uelewa mzuri wa mambo
Mwisho, hawa wanao fanya mambo ya kusikitisha kama haya, ningependa siku moja watandikwe viboko hadharani, mbele ya hao wanafunzi walio rudishwa nyumbani.
Genge la wahuni sio CCM tu ni mchanganyiko wa watu wengi.
Raisi Samia ni weak na asie na sifa ya nafasi aliyonayo (yeye kajikita kuteua watu wa usalama na wenye kujua tiktakata) za ndani ya CCM kumlindia uraisi wake.
Lakini hana leadership qualities ya kuelewa mambo yanayoendelea uraiani ni jukumu lake kuyatatua (the woman is incompetent).
Shida ni kwamba watu wanacheza game la hatari kumchafua, hawa watu hawathamini maisha ya watu. Wengine anaawaamini mwenyewe huyo mama.
Kawatoa wale walinzi wenye sifa ya kulinda ya nchi, na kuweka watu ambao hawana sifa ya ulinzi wa nchi kwa maslahi yake (shida hao aliowaweka wanamaslahi mengine).
Ni shida