Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Hivi ni yule Peter Lijualikali?Lijualikali alitokea Chadema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni yule Peter Lijualikali?Lijualikali alitokea Chadema.
Inabidi utulie unisome kwa makini, hiki kinachoendelea sasa ni downward trend ya kutengeneza chuki zidi ya Samia.
Sasa sio kwamba namkubali hivyo huyo Samia mwenyewe ila siafiki hizi siasa za kuwatumia watanzania kama pawns za political gain za watu wengine,
Na msingi wake ni utunzi wa Magufuli alikuwa muuaji, sasa hizi story wanataka mpa Samia; hiyo ya kufukuza watoto shule it’s just an extension attempt to reach the same goal ya watu wenye nia mbaya.
But you and I know Samia has nothing to do with that.
Wewe kvma haya mavi uliyoandika hapa yanahusiana vipi na mada ?You don’t get it money.
Shida ni uwezo mdogo wa wachangiaji wa jukwaa la siasa kuelewa siasa.
Siasa sio uropokaji tu, ni science.
Science ni objective subject with means tested that allows an observer to analyse and make predictions given the factors.
Ni mataahira tu, including you (mleta mada) mliokuwa amuelewi somo; mkiambiwa msi-promote hiyo dhana ya Magufuli muuwaji inayotungwa na mafisadi, you going to create copy cats.
Kwa sababu mafisadi wenyewe ni watu wajinga na wanadhani nadharia ya kuuwa inalipa, now the nation has to pay the price ya idiotic politics kwenye vita ya madaraka.
Tunaposema usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili sio tunaropoka tu, tumeelewa hawa waliondelea jinsi wanavyoendesha nchi zao.
Huwezi kucheka na nyani halafu usivune mabua kwenye shamba lako.
Ni taahira tu ambae akumuelewa Magufuli
Mzazi aliwatukana waalimu, sasa unategemea waalimu wafanye nini? Vipi ikitokea shida shuleni sini mzazi atafanya fujo zaidi..Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe ni hii👇
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WAFUKUZWA SHULE
Mwalimu Mkuu( REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba 0755075299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON
Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .
Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.
View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Wewe unaona huo ni utaahira?Sidhani kama kuna ukweli.
Sababu mtu kama amefikia hatua ya kuwa mwalimu hawezi kuwa taahira kabisa kabisa kiasi hiki.
Kama hayo wanafanya kumchafau mbona hachukui hatua?Inabidi utulie unisome kwa makini, hiki kinachoendelea sasa ni downward trend ya kutengeneza chuki zidi ya Samia.
Sasa sio kwamba namkubali hivyo huyo Samia mwenyewe ila siafiki hizi siasa za kuwatumia watanzania kama pawns za political gain za watu wengine,
Na msingi wake ni utunzi wa Magufuli alikuwa muuaji, sasa hizi story wanataka mpa Samia; hiyo ya kufukuza watoto shule it’s just an extension attempt to reach the same goal ya watu wenye nia mbaya.
But you and I know Samia has nothing to do with that.
CCM imegeuka na kuwa ngumba ya mashetani!!CCM inaelekea siku zake za mwisho. Vitu kama hivi ni lazima vitoke, hamtakiwi kusikitika.
Chama kikubwa kama CCM kinafanya move ya kitoto kama hii. Tuwe wakweli chama kinapotia mengi sana.
Msimamizi wa uchaguzi atashindwa kuwajua wapigakura wake!uongo na uzushi mwingine bana 🤣
kwamba mwalimu anawajua wanachadema?🤣
tafuteni huruma kwenye mambo mengine jamani huu uzushi ni wa kiwango cha ambacho ni dhahiri hamuwezi kuvuna huruma kabisaaaa kwa 🐒
Hata huko kusimamishwa wewe unaona ni sawa? Kosa la mzazi unamuingizaje mtoto wake? Je kesho na keshokutwa tukisikia watoto wamedhurika tuwafikirieje hao walimu? Maana kama hali ipo hivyo inaonekana hata usalama wa hao watoto upo mashakani.Heading isomeke KUSIMAMISHWA na sio KUFUKUZWA, Kama barua unavoeleza
Shut the fvck up ! ,You dickheadNilifika Salama kiongozi safari yangu,
Genge la wahuni sio CCM tu ni mchanganyiko wa watu wengi.
Raisi Samia ni weak na asie na sifa ya nafasi aliyonayo (yeye kajikita kuteua watu wa usalama na wenye kujua tiktakata) za ndani ya CCM kumlindia uraisi wake.
Lakini hana leadership qualities ya kuelewa mambo yanayoendelea uraiani ni jukumu lake kuyatatua (the woman is incompetent).
Shida ni kwamba watu wanacheza game la hatari kumchafua, hawa watu hawathamini maisha ya watu. Wengine anaawaamini mwenyewe huyo mama.
Kawatoa wale walinzi wenye sifa ya kulinda ya nchi, na kuweka watu ambao hawana sifa ya ulinzi wa nchi kwa maslahi yake (shida hao aliowaweka wanamaslahi mengine).
Ni shida
Maamuzi ya Shule huwq hayaingiliwi na mahakama .. mwisho wa siku mtaambiwa Shule ndiyo mwamuzi wa mwisho.Mtoto wa darasa la 1 anafukuzwa shule na kutakiwa kutafutiwa shule !?
Ningepeleka shule nzima mahakamani na kuweka stop order Moja kubwa sana halafu ni deal na huyo mvunja haki ya watoto ambae kimsingi namuona kama muuaji kabisa ambae anaenda kutangaza assemble kumsimamisha shule mtoto wa darasa la 1
Anyway Kuna watu akili wameuza hope watarudi nyuma wawaze hata kidogo
Mahakama Huwa haina maamuzi ya kuingilia maamuzi ya Shule .. watapoteza muda tuHao walimiu wamejiingiza kwenye mtego kwa kutanguliza kichwa, hao watoto waende mahakamani kudai haki yao ya msingi na kudai fidia
Sasa kama mzazi alisema walimu hawana uwezo wa kufundisha na hawana sifa kuna haja gani kubakia hapo shuleni kupoteza muda?? Awapeleke shule nyingine ambayo Kuna walimuTunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe ni hii👇
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WAFUKUZWA SHULE
Mwalimu Mkuu( REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba 0755075299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON
Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .
Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.
View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Nimeelewa hapo unaposema the "woman is incompetent "Nilifika Salama kiongozi safari yangu,
Genge la wahuni sio CCM tu ni mchanganyiko wa watu wengi.
Raisi Samia ni weak na asie na sifa ya nafasi aliyonayo (yeye kajikita kuteua watu wa usalama na wenye kujua tiktakata) za ndani ya CCM kumlindia uraisi wake.
Lakini hana leadership qualities ya kuelewa mambo yanayoendelea uraiani ni jukumu lake kuyatatua (the woman is incompetent).
Shida ni kwamba watu wanacheza game la hatari kumchafua, hawa watu hawathamini maisha ya watu. Wengine anaawaamini mwenyewe huyo mama.
Kawatoa wale walinzi wenye sifa ya kulinda ya nchi, na kuweka watu ambao hawana sifa ya ulinzi wa nchi kwa maslahi yake (shida hao aliowaweka wanamaslahi mengine).
Ni shida
Upo sahihi kabisa.Maamuzi ya Shule huwq hayaingiliwi na mahakama .. mwisho wa siku mtaambiwa Shule ndiyo mwamuzi wa mwisho.
Hata hivyo maelezo yote yapo hapo atafute Shule itakayofundisha watoto wake kwa kuwa yeye aliwadharau na kuwarushia maneno ya vitisho ..
Sasa kwanini ang'ang'anie tena hapo
kauli za mzazi wao alizozitoa akiwa wapi bwana pimbi? na huyo pimbi mwenzio mwalimu mkuu akitamkiwa akiwa wapi ?Sababu uliyotaja haiko kwenye barua uliyoambatanisha...
Umetunga sababu sio?
Hapo nimesoma, sababu si baba yao kuwa Chadema bali kauli zake juu ya walimu wa shule hiyo...
Ungetuwekea hapa hiyo kauli aliyoitoa huyo bwana hapa ili tuijadili.