DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nilifika Salama kiongozi safari yangu,

Genge la wahuni sio CCM tu ni mchanganyiko wa watu wengi.

Raisi Samia ni weak na asie na sifa ya nafasi aliyonayo (yeye kajikita kuteua watu wa usalama na wenye kujua tiktakata) za ndani ya CCM kumlindia uraisi wake.

Lakini hana leadership qualities ya kuelewa mambo yanayoendelea uraiani ni jukumu lake kuyatatua (the woman is incompetent).

Shida ni kwamba watu wanacheza game la hatari kumchafua, hawa watu hawathamini maisha ya watu. Wengine anaawaamini mwenyewe huyo mama.

Kawatoa wale walinzi wenye sifa ya kulinda ya nchi, na kuweka watu ambao hawana sifa ya ulinzi wa nchi kwa maslahi yake (shida hao aliowaweka wanamaslahi mengine).

Ni shida
 
DC ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya...

Kama mzazi alitoa kauli za vitisho, walimu wana haki ya kumshirikisha DC...

Nashauri tunapokuwa kwenye mikutano ya kisiasa tujifunze kuchagua maneno ya kuongea...

Walimu si wanasiasa, na hivyo hawana ngozi ngumu za kuvumilia kauli za kisiasa...

Wao kila kauli wanaweza kuichukulia katika uzito unaostahili...

Hivyo kama mzazi alitamka maneno makali kisiasa,

Yaani hakumaanisha alichokisema (maana hii ndio siasa ya Tanzania)akaombe radhi.
 
Siasa za Kina Lucas Mwashambwa
 
Akili za hao walimu ziko anticlockwise
Watoto wanahukumiwa kwa mambo ya mzazi!! Watu wa haki za binadamu wachukue hatua dhidi yao
 
Huu uonevu kwa watoto ndio nimeukataa and you may deal with it..
Deal with the fact that igaf and you have no clue whatsoever of what is happening on the ground...
Hao walimiu wamejiingiza kwenye mtego kwa kutanguliza kichwa, hao watoto waende mahakamani kudai haki yao ya msingi na kudai fidia
 
uongo na uzushi mwingine bana 🤣

kwamba mwalimu anawajua wanachadema?🤣

tafuteni huruma kwenye mambo mengine jamani huu uzushi ni wa kiwango cha ambacho ni dhahiri hamuwezi kuvuna huruma kabisaaaa kwa 🐒
 
Lijualikali alitokea Chadema.
 
Vibaya sana kosa la kuingiza watoto kwenye kukomesha kisiasa.

Kama wametenda hayo si wala washitaki hao wazazi au?
Acha wapandikize chuki ndy vzr
Ubaya ubaya tu

Ova
 
Sidhani kama kuna ukweli.
Sababu mtu kama amefikia hatua ya kuwa mwalimu hawezi kuwa taahira kabisa kabisa kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…