DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WAFUKUZWA SHULE
Mwalimu Mkuu( REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba 0755075299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BONIFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Elimu ni haki ya mtoto laZima watoto wapate elimu
 

Attachments

  • 1733378487545.jpg
    430.1 KB · Views: 3
 
Wewe kvma haya mavi uliyoandika hapa yanahusiana vipi na mada ?

Wewe fala unaona kilichofanyika kwa hao wanachadema ni sawa ?
 
Mzazi aliwatukana waalimu, sasa unategemea waalimu wafanye nini? Vipi ikitokea shida shuleni sini mzazi atafanya fujo zaidi..

Mzazi anamakosa Sana..
 
Sidhani kama kuna ukweli.
Sababu mtu kama amefikia hatua ya kuwa mwalimu hawezi kuwa taahira kabisa kabisa kiasi hiki.
Wewe unaona huo ni utaahira?

Afrika hatuwezi mfumo wa vyama vingi kwa sababu hatuna akili.

Akili zetu ni kama wachina au waarabu, hawawezi kuvumilia demokrasia.

Waweke mfumo wa chama kimoja kama China maisha yaendelea.

Siyo kukaa wanasumbuasumbua watu mara kuwateka sijui kitu gani..
 
Kama hayo wanafanya kumchafau mbona hachukui hatua?
 
CCM inaelekea siku zake za mwisho. Vitu kama hivi ni lazima vitoke, hamtakiwi kusikitika.

Chama kikubwa kama CCM kinafanya move ya kitoto kama hii. Tuwe wakweli chama kinapotia mengi sana.
CCM imegeuka na kuwa ngumba ya mashetani!!

Halafu utakuta CCM.inajivunia kwa kuwa hayo majitu mapumbavu ya kiwango cha huyo DC na mwalimu mkuu!!

Hawa wanatakiwa kufukuzwa mara moja na kushitakiwa mahakamani.

Hata kama CCM imekuwa na mambo mengi ya hovyo, lakini haijawahi kufikia kiwango hiki. Hii ni dharau kubwa sana kwa Rais Samia. Hawa wanaofanya hivi, wanamwonesha Rais Samia??
 
uongo na uzushi mwingine bana 🤣

kwamba mwalimu anawajua wanachadema?🤣

tafuteni huruma kwenye mambo mengine jamani huu uzushi ni wa kiwango cha ambacho ni dhahiri hamuwezi kuvuna huruma kabisaaaa kwa 🐒
Msimamizi wa uchaguzi atashindwa kuwajua wapigakura wake!
Soma barua zilizoambatanishwa.
 
Heading isomeke KUSIMAMISHWA na sio KUFUKUZWA, Kama barua unavoeleza
Hata huko kusimamishwa wewe unaona ni sawa? Kosa la mzazi unamuingizaje mtoto wake? Je kesho na keshokutwa tukisikia watoto wamedhurika tuwafikirieje hao walimu? Maana kama hali ipo hivyo inaonekana hata usalama wa hao watoto upo mashakani.
 
Shut the fvck up ! ,You dickhead
 
Maamuzi ya Shule huwq hayaingiliwi na mahakama .. mwisho wa siku mtaambiwa Shule ndiyo mwamuzi wa mwisho.

Hata hivyo maelezo yote yapo hapo atafute Shule itakayofundisha watoto wake kwa kuwa yeye aliwadharau na kuwarushia maneno ya vitisho ..

Sasa kwanini ang'ang'anie tena hapo
 
Sasa kama mzazi alisema walimu hawana uwezo wa kufundisha na hawana sifa kuna haja gani kubakia hapo shuleni kupoteza muda?? Awapeleke shule nyingine ambayo Kuna walimu
 
Nimeelewa hapo unaposema the "woman is incompetent "
 
Upo sahihi kabisa.
 
Sababu uliyotaja haiko kwenye barua uliyoambatanisha...

Umetunga sababu sio?

Hapo nimesoma, sababu si baba yao kuwa Chadema bali kauli zake juu ya walimu wa shule hiyo...

Ungetuwekea hapa hiyo kauli aliyoitoa huyo bwana hapa ili tuijadili.
kauli za mzazi wao alizozitoa akiwa wapi bwana pimbi? na huyo pimbi mwenzio mwalimu mkuu akitamkiwa akiwa wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…