DOKEZO Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wahuni waliopo Ccm wanachokitafuta, watakipata.
 
Kwani hamna vyombo vya kisheria kumwajibisha mzazi badala ya kuwaadhibu hao wanafunzi?
Kosa la kuwajibishwa huyo mzazi usikute ni la kufikirika. Labda alidai majina ya wapiga kura hayaonekani. Au taratibu za uchaguzi hazikuzingatiwa, lakini kwao yakaonekana matusi na vurugu.
 
Tujipange kwa lipi, precedence aliyoset JPM ndio inaimaliza Tanzania. Cha ajabu wasomi kama wewe mnashabikia tu huu ujinga.
You have to sort your reasoning and be realistic,

Huyu shetani mmemlea (nyie) sio Samia, bali hizi tabia,

Kinachoendelea sasa has nothing to do with Samia, ni nyie ndio mmewapa watu huko serikalini namna ya kupigana vita ya power struggle.

Kipindi cha Magufuli watu hawakupigwa risasi mbele ya wake zao na watoto wao (ushenzi gani huo).

Hawa ni watu ambao walikuwa wanaokota maiti mochwari na kwenda kuzitupa baharini na nyie mkishupalia Magufuli muuaji.

Sasa hivi watu hao hao wanauwa bila ya soni kumchafua Samia.

CCM kupora chaguzi hakuna anaeweza wabishia, lakini haya mauaji ni genge la wahuni wengine.
 
Mimi sio taahira na sikumuelewa huyo JPM. He was a delusional lunatic who sowed seeds of this inhumane acts

How you feel about the great JPM is your problem, but then he is not involved on the decisions which were made to exclude innocent kids because of their parents political affiliations.

Get that perspective first, then you’ll realise the monster you have helped to build due to promoting lies,
 
Wazazi tutafute pesa, tuwasomeshe watoto wetu shule Bora ambazo hazina msukumo na mbinyo wa kisiasa. Yasingewakuta hayo.
 
Nimekuelewa, unataka na sisi tuanze kuua, yaani unataka tujibu mapigo, kiufupi unataka tuanzishe vita, ok
 
Nimekuelewa, unataka na sisi tuanze kuua, yaani unataka tujibu mapigo, kiufupi unataka tuanzishe vita, ok
Watu tayari wako vitani, na watu kama nyie mmechochea kuni kwenye hiyo vita bila ya kujua.

The sad part ni kwetu sisi raia tunaozika ndugu zetu wasio na hatia.
 
Tanzania Wajinga Wengi Sana
Siasa Inapelekwa Mpaka Sehemu Zisizotakiwa
DC, Mwalimu Wanatakiwa Kufutwa Kazi Haraka Wataharibu Taifa Kwa Mambo Ya Hovyo
 
Kama ungekuwa unajua ualimu, ungeshukuru kwa hatua hiyo
 
Kama ungekuwa unajua ualimu, ungeshukuru kwa hatua hiyo
I stayed in school for good 20 years, what are you talking about....
Ualimu this that, hiyo shule ni yake
 
Huyu Likuakali CHADEMA walimuokota akiwa hana kitu fukara tena wa kutupwa wakamfanya akajulikana hadi akashinda ubunge Kilombero akawa na nafuu kiuchumi. Baadae alipoporwa ubunge, kupigwa, kukamatwa na kufungwa jela tena kwa kesi mbaya kabisa ya kubambikiwa ni CHADEMA hao hao chini ya wakili Lissu walimtetea hadi akashinda rufaa yake. Leo hii anesahau yote hayo kisa amesilimu kuwa CCM!

Mbona kuna wengi tu waliohama upinzani kistaarabu. na kurudi CCM wanetulia wanaendelea na maisha ya upande wa pili.

Muda ni mwalimu mzuri huyuhuyu Lijuakali atakuja kulia lia kama Dr Slaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…