Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
HayaNdio shida yenu ilipo
Hamjui wakati wa kuungana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HayaNdio shida yenu ilipo
Hamjui wakati wa kuungana
Tujipange kwa lipi, precedence aliyoset JPM ndio inaimaliza Tanzania. Cha ajabu wasomi kama wewe mnashabikia tu huu ujinga.Mkajipange
Huyu DC mbona kama alikuwa CHADEMA?!Utakuta huyo DC ni division 0 yupo hapo kwa kubebwa .
Cheo kama cha DC & RC ni vya kufutwa havina tija yoyote.
Wahuni waliopo Ccm wanachokitafuta, watakipata.Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe ni hii👇
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE
Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON
Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .
Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.
Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA
View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Kosa la kuwajibishwa huyo mzazi usikute ni la kufikirika. Labda alidai majina ya wapiga kura hayaonekani. Au taratibu za uchaguzi hazikuzingatiwa, lakini kwao yakaonekana matusi na vurugu.Kwani hamna vyombo vya kisheria kumwajibisha mzazi badala ya kuwaadhibu hao wanafunzi?
You have to sort your reasoning and be realistic,Tujipange kwa lipi, precedence aliyoset JPM ndio inaimaliza Tanzania. Cha ajabu wasomi kama wewe mnashabikia tu huu ujinga.
Wakina Logikos wanasema tunapenda na tuna utu sana bongo. Poor poor poor...
Mimi sio taahira na sikumuelewa huyo JPM. He was a delusional lunatic who sowed seeds of this inhumane actsNi taahira tu ambae akumuelewa Magufuli
Mimi sio taahira na sikumuelewa huyo JPM. He was a delusional lunatic who sowed seeds of this inhumane acts
Wazazi tutafute pesa, tuwasomeshe watoto wetu shule Bora ambazo hazina msukumo na mbinyo wa kisiasa. Yasingewakuta hayo.Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe ni hii👇
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE
Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON
Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .
Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.
Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA
View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Nimekuelewa, unataka na sisi tuanze kuua, yaani unataka tujibu mapigo, kiufupi unataka tuanzishe vita, okYou have to sort your reasoning and be realistic,
Huyu shetani mmemlea (nyie) sio Samia, bali hizi tabia,
Kinachoendelea sasa has nothing to do with Samia, ni nyie ndio mmewapa watu huko serikalini namna ya kupigana vita ya power struggle.
Kipindi cha Magufuli watu hawakupigwa risasi mbele ya wake zao na watoto wao (ushenzi gani huo).
Hawa ni watu ambao walikuwa wanaokota maiti mochwari na kwenda kuzitupa baharini na nyie mkishupalia Magufuli muuaji.
Sasa hivi watu hao hao wanauwa bila ya soni kumchafua Samia.
CCM kupora chaguzi hakuna anaeweza wabishia, lakini haya mauaji ni genge la wahuni wengine.
Kila leo wanatoa mpyaHii kali sana 😄
Ova
Kauli inasema "uwatafutie shule nyingine"so achana na heading zingatia content.Kwani hamna vyombo vya kisheria kumwajibisha mzazi badala ya kuwaadhibu hao wanafunzi?
Watu tayari wako vitani, na watu kama nyie mmechochea kuni kwenye hiyo vita bila ya kujua.Nimekuelewa, unataka na sisi tuanze kuua, yaani unataka tujibu mapigo, kiufupi unataka tuanzishe vita, ok
Kama ungekuwa unajua ualimu, ungeshukuru kwa hatua hiyoTunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe ni hii👇
WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE
Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha Izinga AMEWAFUKUZA SHULE watoto ambao wazazi wao ni wanachama wa CHADEMA kwa madai kwamba ni maelekezo ya wizara ya Elimu yanayosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Ndugu AMBROSE LIJUAKALI. wafuatao ni orodha ya baadhi ya watoto waliofukuzwa.
(1) MATHIAS SWEETBERT KABEZYA -STD III
(2) ANAKREDA SWEETBET KABEZYA -STD I
(3) GRACE BONIFACE KABEZYA -STD VI
(4)ANTONIA BONIFACE KABEZYA -STD IV
(5) VENUS BON
Natumaini hapatakucha kabla hatua kali hazitachukuliwa dhidi ya ukatili na ubaguzi huu kwenye Jamii yetu .
Mheshimiwa waziri MKENDA. hili lipo kwenye mamlaka yako.
Pia soma: √ - Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA
View attachment 3169212View attachment 3169213View attachment 3169214View attachment 3169215View attachment 3169216View attachment 3169217IFACE KABEZYA -STD II
(6) CLEOPHACE ADABETH KABEZYA -STD IV
(7) LILIAN SWEETBETH KASWANYA -STD V
(8) ROSEMARY SWEETBETH KASWANYA- STD III
(9) JOSEPH SWEETBETH KASWANYA- STD II
TUNALAANI KITENDO HIKI NA TUNAITAKA WIZARA YA ELIMU IJITOKEZE KUKEMEA JAMBO HILI NA KUMCHUKULIQ MWALIMU HUYO HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA MAADILI YA UALIMU
Huyu Likuakali CHADEMA walimuokota akiwa hana kitu fukara tena wa kutupwa wakamfanya akajulikana hadi akashinda ubunge Kilombero akawa na nafuu kiuchumi. Baadae alipoporwa ubunge, kupigwa, kukamatwa na kufungwa jela tena kwa kesi mbaya kabisa ya kubambikiwa ni CHADEMA hao hao chini ya wakili Lissu walimtetea hadi akashinda rufaa yake. Leo hii anesahau yote hayo kisa amesilimu kuwa CCM!Tunapeleka taifa letu wapi?