Siasa zile za JPM, wapinzani wengi ziliwapandisha hadhi ya kisiasa huku wakiwa weupe pee!

Siasa zile za JPM, wapinzani wengi ziliwapandisha hadhi ya kisiasa huku wakiwa weupe pee!

Trable

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
1,781
Reaction score
3,288
Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya wengi!

Utawala unaotia kashikashi wapinzani, ukweli usiopingika, huufanya upinzani usikilizwe na hoja zao kuwa lulu kwa wanachama na wasio wanachama nje na ndani ya nchi!

Kipindi cha JPM! Wapinzani waliongoza kufanya press na wandishi wa Habari wa ndani na nje, na tarifa zaokuonekana katika mitandao ya kijamii za ndani na nje, pia vyomba vya Habari vingi vya ndani na nje ya nchi vilitoa tarifa zao! Huku ndiko kuuimarisha upinzani!

Wengi wa wanasiasa walipanda chati na hata ambao ni weupe kabisa kichwani na kimvuto wa kisiasa!

Ukweli ni kwamba, siasa ili ziwe motomoto na zielekee wapinzani kuchukua nchi! Zinahitaji viongozi fyatu wasiojua athari ya matamko yao kuwa ndio zinapandisha uimara wa wapinzani!

Mwendelezo wa siasa alizoanza nazo hayati JPM, iwapo zingalikuwepo hata sasa, 2025 upinzani ungeingia Ikulu kilaiini!

Siasa lingine zinazopandisha hadhi ya upinzani, ni serikali legelege isiyojali wananchi, isiyojali matumizi sahihi ya kodi za wananchi na kuzisimamia, serikali inayoruhusu mafisadi, rushwa, unyanyasaji maofisi, kutokuwajibika, nidhamu mbovu maofsini n.k ssrikali za namna hii zisipo warubuni wapinzani na kutoa hongo kwa viongozi wa upinzani, serikali za namna hii, huuimarishaupinzani kwa sababu upinzani utakuwa na hoja za kuueleza umma na umma ukawa upande wake


Kwa sasa, nawaambia ukweli kabisa! Upinzani kwa kuwa umekubali kupokea hongo sjui ya nini huko! Utakaa hivyohivyo! Ikulu watakaribishwa tu kunywa chai na mayai ya mbuni!


Upinzani kwa Heri! Labda tuwangoje 2030 watakapojitambua
 
Utaona kama watakosa wabunge kama alivyowafanyia mzee wa chato! Mama mtu wa haki atayeshinda ndiye atayetangazwa! Jiandaeni ccm na mama akimaliza 2030 anawaachia katiba mpya mpambane nayo!
 
Mtoto wa kiume unajiita kisamv.... vijana wa sikuhizi ni mafala kwelikweli
 
Utaona kama watakosa wabunge kama alivyowafanyia mzee wa chato! Mama mtu wa haki atayeshinda ndiye atayetangazwa! Jiandaeni ccm na mama akimaliza 2030 anawaachia katiba mpya mpambane nayo!
Lisu wa 2016 si huyu aliyepata ajali ya mabomu!

Siasa zilizopo sasa hazimpi nafasi ya kuhiti, siasa zile za JPM zilimfanya aonekane ni mwanasiasa kumbe ni bomu ndani ya chadema na nchi kwa ujumla
 
Back
Top Bottom