SIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi katika Uchaguzi Mkuu akutwa ameuawa huko Sega

SIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi katika Uchaguzi Mkuu akutwa ameuawa huko Sega

Siasa za Kenya zina uchafu wa kila aina, watu wanauana kama Mbuzi tu, watz tumestaarabika sana.
Wewe ni kama yule jamaa kwa Biblia aliyeenda kuomba akapata mwenzake anakiri makosa zake na yeye akaanza maombi ya kujisifu eti yeye sio mwenye dhambi kama mwenzake.
 
SIAYA, KENYA: Aliyekuwa msimamizi msaidizi wa IEBC katika Uchaguzi Mkuu, Caroline Odinga amekutwa akiwa ameuawa baada ya kubakwa.

- Mwili wake ulikutwa katika soko la Sega Jumamosi asubuhi na watu waliokuwa wakielekea katika mazishi ya Mkurugenzi wa TEHAMA wa IEBC, Chris Msando katika kijiji cha Lifunga.
 
Hata sisi wakenya tumeshangazwa sana na jinsi watu walivyo na roho mubaya
 
Historia ya mauaji ya Uhuru Kenyatta ipo wazi, haya ni mambo yake. Aliongoza Mungiki kuchinja Wajaluo na Wakalenjini, baadae akauwa mashahidi wote wa ICC.
Hacha kusema hivyo tena. Uhuru ndio Baba wa Democracy Afrika. Halafu unasema nini.
 
Unasema hivo kwakuwa Kenya miili ya waliouliwa inapatikana au umeamua tu kujiariji?

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
Ni wapi ambapo haipatikani? Si useme!
 
Back
Top Bottom