Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

Kama wewe umekubali mimi nisemeje?
 
Ongelea ubora wa yanga mbele ya timu mbovu Kama Simba na Azam.
 
Sasa sijui nani ataleta upinzani Kwa wananchi, maana wote wenye uafadhali wamekandwa!
Simba mbovu ilimkanda yanga goli mbili, mpira unakuwa na matokeo ya ajabu mno, ihefu alivuruga unbeaten ya yanga.
 
Hongera mkuu Kwa kutimiza ahadi yako na kukiri hadharani....
 
Tungoje Kimataifa Ingawa Kuna Ukweli Kwenye Hii Comment
Thibitisha, usiwe una argue kimbumbu misimu miwili mfululizo kimataifa anafanya vizuri bado unakuwa too subjective .
Aisee 😯, kazi ipo.
 
Serikali ni lazima sasa iingilie kati hilo suala la Klabu ya Yanga kuendelea kuwafunga wenzao kila siku na kila wakati.

Hakika nawaambia pasipo na uingiliaji wa Serikali kwenye hilo hii Yanga itakuja kuzifunga hadi Shule!
Sawa asante thiiiimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…