Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Muafrika bhana..kwa akili yote yanga ni kubwa kuliko Simba sc?😀😀...Simba sc ni imeshakuwa timu kubwa na bora na 5 barani Afrika,sasa hivi ni ya 6..yanga tokea iyanzishwe haijawahi kuingia top 10,Simba ndio timu ya kwanza kuchukua kombe la ligii kuu Tanzania mwaka 1965 na 1966,Simba sc ndio timu ya kwanza kufika nusu final club bingwa 1974,imecheza robo final club bingwa mara 5 mfululuzo,yanga ndio kacheza juzi moja,Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kufika final shirikisho mwaka 1993,rais Samia aliwaambia mlipi nyie wenzenu walishapita miaka 30 iliyopita,Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kucheza Super league,league ya timu 8 kubwa na bora barani Afrika,hiyo yanga yako bado haijawahi kucheza,Simba ndio club iliyochaguliwa na FIFA kuwania kushiriki kombe la dunia la vilabu kwa mwaka 2025 hiyo yanga ipo wap...utasema ndio ya kwanza kuanzisha ndio akili yenu ilipoishia,sasa ipo hivi ukubwa na ubora wa timu katika bara lake ni ukubwa na ubora aliyonayo katika bara lake na namna inavyojulikana dunia huko...uanzishaji ingekuwa kigezo basi Pamba iliyopanda daraja juzi ingekuwa ndio timu kubwa kuliko Azam,MAMELODY,Belouizdad n.k kwasababu pamba ni ya muda mrefu.