Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

Baada ya Zaidi ya miaka 20 ndio mmeingia makundi CAF champions halafu mnajiita wakubwa. Nyinyi ni wakongwe na sio wakubwa. Klabu kubwa ni Ile inayofanya vizuri kwenye mashindano makubwa na kwenye ranking itakuwa juu kutokana na kufanya vizuri Kwa muda mrefu kwenye mashindano makubwa.

CAF ranking ikoje currently? Mko juu ya mnyama? Yaani ni Sawa na Morocco ilivyofanya vizuri world cup FIFA lazima wairank kuwa juu na kuitambua kuwa bora kuliko timu zote Africa , na huwezi kuja na hoja za akina Ivory coast kuwa ni bora kwa sasa kuliko Morocco kisa Ivory coast ana Afcon. Mkubwa anapatikana Kwa wakubwa wenzio akifanya vizuri Kwa mfululizo.
Ujinga ni kufikiria kwamba kushiriki ni sawa na kushindana. Yanga haikushiriki bali imeshindana.Tofauti na kilabu kingine ambacho kutwa inaishia kushiriki na kuvuna alama moja moja 😄 ingekuwa kushiriki ndiyo ukubwa basi mamelodi wangekuwa chini sana! Mwanaume ameshiriki mara mbili tu amevuna alama 4, 3 na amesogea juu haraka sana na bado mwaka huu atasogea juu zaidi kukuthibitishia maana halisi ya ukubwa.
 
Timu ndogo zinashiriki mara chache mashindano makubwa. Timu yenu haijaanzishwa juzi mpaka ujivunie kushiriki mara 2 tu na kuvuna points. Timu yenu ni kongwe ila ndogo na inautafuta ukubwa.
 
Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa.

Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira.

Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida zao. Kama Azam kadhalilika namna hii basi tuungane kwa pamoja kuichangia yanga, hawawezekani, period.

Soma Pia: Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024
Hahaha
 
Back
Top Bottom