Binafsi ninachjiuliza, Je CDM wanamkakati gani kuhakikisha hiyo NO REFORMS,NO ELECTION?????????????Je walikuwa na mpango wa kufanya civil disobedience or what?????
Mpango mkakati wao ni upi??Kama ni suala la civil disobedience wameishafail, sio kwa watanzania hawa..
Sasa - NO REFORMS NO ELECTION maana yake ni KUSUSA TU UCHAGUZI, WATU WAKAKAE NA WAKE ZAO KUSUBIRI 2030 au ni nini ???
Kutokua na CLARITY ndo sababu ya maneno ni sintofahamu