PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kweli kabisa LIKUD kaongea fact Sana ila nashangaa watu wanatoa matusi badala ya kujibu hoja zake yani nimegundua kuna watu hapa JF wanaongozwa na mihemko
Waoga hao mihemko wange kwenda pambana na polisi siku huyo mtu alipochukuliwa!
 
KITAKOCHOFANYIKA NI KUACHIA ACT VITI VINGI VYA UBUNGE NA MADIWANI NA BAADHI YA HALMASHAURI KWAKUFANYA HVYO CHADEMA ITAKUWA IMEKUFA NATURAL DEATH KM ILIYOKUFA CUF NA NCCR.goodbye chadema
kwa mawazo Yako ya K3
 
Yericko Nyerere na yeye kafunguka yake, kusoma zaidi nenda kwenye page yake ya FbπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20250412-202540.jpg
    387 KB · Views: 21
Kweli kabisa mkuu
 
Wewe kipofu wa maono je wangeshiriki na kuibiwa sasa ndio chadema wangekimbiwa kabisa na wananchi ,jifunze kina Mandela walifungwa leo historia inawakumbuka
Take big risk kwenye siasa utawini kutake mambo cheap utajimaliza
 
Sasa watagombeaje wkt wakirudisha fomu wanaambiwa wamezijaza vibaya, na wanaofaulu fomu kupokelewa wanaenguliwa baadae kwa kubambikiziwa tuhuma bandia, na kwenye kampeni vyombo vya ulinzi havitendi haki, kwahiyo nje ya ccm ukigombea unakuwa unazidiwa na ambae hajagombeaa maana unapoteza nguvu, muda, pesa, akili kuchoka, umaarufu ndani ya jamii n.k
 
Umeandika article ya hovyo kuwai tokea nchi hii.
Wameangalia uhai wa wanachama wao ambao wanateswa na kuuawa kila unapofika uchaguzi na wananchi wanawaunga mkono.
 
Hayo aliyafanya mwendazake he is no more
 
Wapo sahihi kususia uchaguzi mimi the great genius of all the time sikosei hiyo ndiyo kete pekee ya kusukuma ...maana 2025 samia amesha jitangaza rais nje ya matakwa ya watanzania hivyo 2025 huo siyo uchaguzi ni uhuni tu
 
Sijasoma yote uliyo andika ila nimeishia juu tu nimegundua IQ yako ndogo kama ya kuku.....kiasi kwamba unashindwa kuona mbele vizuri ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…