Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo majungu sana asingeenda naye pia mngesema hasaidii wenzake.
Kweli bongo bahati mbaya.
Yes ni Afro beatz hakuna 9ja music identity hata Ghanaians wanasema hiyo style ni yao.Navyojua nyimbo ambazo zimempa diamond coverage na tuzo ni zile alizoimba kinaija (Afro beatz). Kuhusu Marioo sidhani kama kuna ubaya maana dogo kapewa nomination na akipata association na brand kubwa kama Diamond nadhani atafika mbali kwa wepesi zaidi.
Neno 👊👊Wabongo majungu sana asingeenda naye pia mngesema hasaidii wenzake.
Kweli bongo bahati mbaya.
Yes ni Afro beatz hakuna 9ja music identity hata Ghanaians wanasema hiyo style ni yao.